KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Ukawa imekuwa gumzo mtaani leo nimekuta watu wakianza kuitafasri kikwao. Na mimi nikaitafsri kikwetu Bumo bo Katiba ya Banasi (BUKABA) twende kazi na wengine tupia ukawa kikwenu
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, amejutia uamuzi wake wa kuendelea kuwa mjumbe wa...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema) Dk Willibrod Slaa, Ikulu jijini Sar es Salaam siku za hivi karibuni. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa wote wamekubali kuitikia kiitikio cha ukawa.... Hapo mwanzo walisema ukawa ni kundi la wahuni, wazandiki, wasio na kazi na kwamba katiba ni lazima itapatikana hata bila ukawa... Leo...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakati akihutubia Wajumbe wa Bunge Maalum, Dodoma, Rais Kikwete pamoja na mambo mengine alichambua hoja za Tume iliyoongozwa na Jaji Warioba kuhusu Muundo wa Muungano kama ulivyopendekezwa kwenye...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
Wadau habari nilizomegewa muda si mrefu,zinadai kati ya makundi yaliyomo na yaliyobaki kwenye Bunge la Katiba huenda yakatangaza kujitoa muda ukifika. Makundi hayo yamedai kunyanyaswa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau kwa habari nilizozipata kutoka vyanzo mbalimbali vya habari na wadau wakubwa ndani ya ccm yenyewe kuna mpasuko mkubwa sana utatokea muda c mrefu na utaanzia ndani ya bmk. Kama una IQ nzuri...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee...
4 Reactions
63 Replies
7K Views
Ili kutimiza matakwa hayo, gazeti hili limebaini kuwa rafu zimeanza kuchezwa hasa katika kamati ambazo zimeshindwa kutimiza sharti hilo. Moja ya rafu hizo ni ile ya mjumbe wa Kamati namba tano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
“Ni jambo ambalo ameomba mwenyewe kuhamia huko na ameruhusiwa maana hilo ni jambo la kawaida kama ambavyo wajumbe wengine kama kina Freeman Mbowe waliwahi kuomba, siyo jambo geni.” Hamad Rashid...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serkal tatu zna umuhimu wake pia
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Salaam kwa wote,tanzania ni miongoni mwa nchi chache barani africa zilizopata uhuru bila kumwaga damu.lakini kwa mwenendo huu wa mchakato wa katiba nahisi harufu ya damu.nasema hivyo kulingana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kuna taarifa za wabunge wa kutoka CCM kuwa watajiunga UKAWA wakati wowote kuanzia leo.Katika kikao cha wa bunge hao cha siri kilichofanyika katika hotel fulani,wamekubaliana kuungana...
7 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari wana JF, Leo nimewaza juu ya huu mchakato wa katiba mpya jinsi kamati zinavyoendesha uchambuzi wake kabla ya kuwasilisha kwa wajumbe wote. Kila ripot inayotolewa na kila kamati, inaonyesha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samuel Sitta. 22nd August 2014 Na Waandishi wetu Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ali Omar Juma, amesema hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kueleza kuridhishwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kitendo kinachoendelea sasa hivi katika Bunge la Katiba ni cha kitoto kutokana na ukweli kwamba katiba haiwezi kupatikana...
8 Reactions
92 Replies
12K Views
Taarifa za ndani ya kamati za Bunge maalum zinaeleza kuwa kuna msuguano mkubwa sana kwa hoja nyingi kukizanzana na wabunge wengi wa ccm. Picha insyoonekana kumbe upinzani uliopo ni zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dodoma. Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Alli Omari Juma amefuta matumaini ya Watanzania kuhusu kupatikana kwa Katiba mpya, badala yake akabainisha kuwa wajumbe wako Dodoma kwa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu, kwa wafuatiliaji wa mijadala mbalimbali kwa mustakabali wa Taifa letu katika masuala ya kisiasa, kikatiba na kisheria nani zaidi kati ya wasomi hawa wawili ; Prof. Palamagamba Kabudi na...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Kila siku wimbo ule ule "maoni ya wananchi, maoni ya wananchi, maoni ya wananchi...." Warioba, warioba, warioba,...." huku bunge linaendelea kama kawaida. Ukawa wangetafuta wimbo mwingine hamna...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom