Yaani sikio la kufa haliskii dawa ,wakati Miccm ikijitahidi kuziba pengo la UKAWA kwa kutangaza uwongo kuwa baadhi ya UKAWA wamerejea ,uhakika wa kupata 2/3 upo na mambo kibao ya kujipa moyo na...
Wajumbe wa CCM wanaendelea na mijadala ya rasmu katika kamati.
Wajumbe wa vyama vya Upinzani hawajadili na wako nje.
Kamati kuu ya CCM wamemtuma katibu mkuu kuendelea na jitihada za kutafuta...
Rais ni kama Mtume mwenye wafuasi wengi, kila mfuasi anataka kufanya jambo litakalo mfurahisha mtume wake japo kwa kuvaa au kula kama mtume wake.
Katiba yetu imempa Rais uwezo mkubwa kitaifa...
habari wana jf nimepata habari hii nami nikaona niwafikishie ya kwamba kile kipengele kilichokuwa kinawazuiya wabunge kutokuwa mawaziri kimetolewa baada ya wanakamati husika kuona si busara waziri...
Wamejiweka kwenye dillemma mbaya kabisa. Kila upande wanaogusa hauna nafuu. Wanatamani kuahirisha bunge la katiba wanaona aibu wakiwa na wasiwasi pia na impact yake kwao kisiasa. kwamba ukawa...
Ukitaka kujua nilisema nini Channel 10 jana tarehe 20 Agosti BOFYA hapa
Na usisahau kusoma gazeti la RAI leo Alhamisi Agosti 21, huko kuna Makala ya Ufafanuzi wa Masuala Mbalimbali juu ya...
Nawakumbusha watu kufuta matumaini ya kupata Katiba Mpya, kinachojadiliwa hapa ni mambo ya kulazimishana kila upande, sisi wengine tunaona bora ya Ukawa waliotoka nje kuliko mambo ya humu ndani,...
Usikose kipindi Je Tutafika cha Mzee Makwaia leo saa 3 na Nusu Usiku katika Televisheni ya Channel 10. Huko tumezungumza Mchakato wa Katiba Mpya, Bunge Maalum na suala la Uraia Pacha. Karibu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma),Alli Omari Juma amefuta matumaini ya watanzania kuhusu kupata Katiba mpya,badala yake akabainisha kuwa Wajumbe wako Dodoma kwa ajili ya kula...
Na kwa wale wanaosema iwapo UKAWA watafanya maandamano au chama kingine chochote kiweke na kutanguliza viongozi wake wakuu mstari wa mbele , mimi kama mimi nasema hakuna na ni marufuku kwa vyama...
nionavyo mimi kikwazo kikubwa cha kupata katiba ni hii kanuni ya 2/3 kwa nini wajumbe wa katiba wasibadilishe hii kanuni hili iwe rahisi kupitisha katiba kama watakavyo?
Mbunge Keisy alazimishwa kukanusha kauli yake
MBUNGE wa Nkasi, Ally Keisy (CCM), jana alionja shubiri baada ya kulazimishwa kukanusha kauli yake kwamba akidi ya Kamati Namba moja ya Bunge...
Wakati nafuatilia uchambuzi wa magazeti kupitia RFA leo asubuhi, nimesikia gazeti/magazeti yakimnukuu makamu mwenyekiti wa bunge la katiba bi samia suluhu akisema kwamba 2/3 ya kura kutoka...
Waheshimiwa Marais wastaafu bila shaka baada ya kuhitimu urais hamjaacha kuwa wazalendo kwa nchi yenu. Bila shaka mnayaona haya ya iliyokuwa iwe katiba mpya, kifupi hela ambayo ingeokoa maisha ya...
Amesema bunge limekosa msisimko na hivyo kukiasa chama chake kutumia busara ili watanzania wakielewa CCM.
Mjumbe wa Bunge la katiba Ester Bulaya kupitia CCM,amedai kuwa bunge hilo limekosa...
Akitumia fursa hiyo, Keissy alisema: "Kuna mambo yanafanywa mle ndani ambayo mimi na wenzangu wengine tunalazimishwa, hatukubaliani nayo likiwamo suala la kuizika Serikali ya Tanganyika wakati wa...
Hili ndilo suala linalopasua vichwa vya wale wanaojiita JIWE na lengo hasa ni kuzuia wananchi na wadau kujua akidi ikoje wakati wa kupiga kura,UKAWA na wananchi wamejipanga kuufuatilia kwa karibu...
mchakato wa katiba mpya unaoendelea unaonyesha viongozi wengi ni vihiyo ambao hawakupata madaraka kutokana na uwezo wao wa kuongoza bali kwa ujanjaujanja kama kuwa na mtu wa kukupigia debe, kutoa...
Kuna tetesi kwamba kambi nzito za wagombea urais zinashinikiza bunge la katiba liendelee ili kuhakikisha bwana samwel sitta anakuwa hoi kisiasa, katika tathmini yao mpaka sasa wamefanikiwa kiasi...
Binafsi ninasikitishwa sana na jinsi mambo yanavyoendelea katika Bunge Maalumu la Katibu (BMK) huko Dodoma. Kwa wale mnaofuatilia mwenendo wa Bunge hilo mtakubaliana nami kuwa haitapakikana Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.