NANI
ALIKUWA SAHIHI?
(A) CCM-Waliotoka nje ya maada ya rasimu ya katiba iliyowasilishwa na tume ya mzalendo Jaji Joseph Sinde Warioba na kuendeleza mjadala wa matusi na kejeli ndani ya mjengo...
Hii katiba iliyopo haitoi "loop hole" kwa upinzani kutwaa dola...ina kasoro kibao.
Watanzania tupambane kuirarua hii katiba ili ipatikane nyingine favourable ili upinzani nao uonje asali ya...
Tuesday, April 29, 2014
Mvutano kati ya Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho (pichani), na wanachama kadhaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kumshutumu kuwa...
Jana nilikuwa naongea na jamaa fulani kutoka UK ambao kwa namna fulani wanakabiliwa na changamoto za muungano zinazokaribia kufanana na zetu. Waliniuliza kwamba, endapo muungano ungefikia ukomo...
Kukaribia kuanza Kwa bunge la katiba Karibu kila siku tunasikia kauli za Viongozi hasa huku bara zinazokinzana kwanza wao Kwa wao Na pili kiongozi mmoja kutoa kauli zinazotofautiana akiwa maeneo...
Mhe Mnyika akihojiwa na Channel ten katika kipindi cha Gurudumu leo asubuhi,amesema wakati wa kujadili Tunu za Taifa katika kikao kilichopita katika BMK,CCM walifuta Uadilifu,Uwazi na Ukweli kuwa...
CHADEMA wamtega Pinda
Katika hatua nyingine, CHADEMA imemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutimiza ahadi yake ya kuleta muswada wa marekebisho ya sheria iliyounda Tume ya Mabadiliko ya Katiba mpya...
Ni ukweli usiopingika kuwa mkwamo wa Bunge la katiba ni kutokana na JK kushindwa kuomba radhi kwa Watanzania juu la kitendo chake cha kukwamisha mchakato wa katiba. Ni hotuba yake ya ufunguzi ndio...
Nimefuatilia sana hoja za ukawa na sababu walizozitoa kufuatia kugoma kuingia kwenye Bunge la katiba ,
moja ya hoja zao ni kwamba wanataka rasimu ya katiba ndo ijadiliwe na si vinginevyo, labda...
Wadau, hakika ukisikia kuwa UKAWA ni gogo la mgomba ndio hii.
Kama mtakumbuka kuwa Mwenyekiti wa UKAWA na CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametangaza kutorudi kwenye bunge la katiba kwa madai kuwa misingi...
Wote tumeshuhudia kundi linalosema linasimamia mawazo ya wananchi UKAWA wametoka nje katika kipindi cha jioni leo na kususia bunge maalumu la katiba.
Je kuna kitu unakikosa au tofauti yoyote...
Maaskofu wanaokutana hapa Iringa Kuliombea Taifa wamemshauri Rais Jakaya Kikwete Kulivunja Mara moja Bunge Maalum la Katiba kwa kuwa halina mwelekeo wa Kutuletea Katiba Mpya
Source: Taarifa ya...
Katika hotuba aliyoitoa pale morogoro,katibu mkuu wa ccm ndg Kinana amesema Tanzania imesifika duniani kote katika mchakato wa katiba mpya na kuna baadhi ya nchi kama kenya zimepongeza mchakato...
For those who hadn't seen it yet.......Enjoy! (but am not sure if its the first draft or the second one. sorry)
tanzania_draft_constitution_2013-english.pdf
Kupitia vyombo vya habari viongozi wa CHADEMA wamenukuliwa wakisema wabunge wake walioko kwenye bunge maalum la katiba hawatakwenda kwenye kikao cha julai 24 alichokiitisha mwenyekiti Samuel Sitta...
Kama mchakato wa kutunga katiba mpya utakwama Tanzania itaendelea na katiba yake iliyopo ya mwaka 1977 ya serikali 2 za zamani tulizokuwa nazo.
Hivyo basi, UKAWA na wadau wengine wanaogomea...
Leo kupitia vyombo vya habari Nape anasema:
"Hata ukawa wasiporudi Bunge la katiba August 5 bado hakuna kitakachoharibika maana AKIDI inatosha kufanya maamuzi"
"Lakini kwa kuwa UKAWA ndio...
Nimesikia na kuona mara kadhaa wadau wakiwa wanalalamika kuwa vituo vyetu vya TV na Radio hata vile vya binafsi kuwa vimewekwa mfukoni na mfumo wa serikali either kwa kupewa kitu kidogo au...
Mh. Freeman Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA na mbunge wa jimbo la hai pia mjumbe wa bunge la katiba amewaambia wanahabari kuwa Kamati kuu ya CHADEMA imeridhia chama hicho kwenda kwenye kamati ya...
Wadau, mheshimiwa sana kikwete amesema bunge la katiba liliingiliwa na mapepo na kuvuruga mchakato mzima wa katiba mpya, na kuwaomba viongozi wa dini wawaombee wajumbe wa katiba wawe na mshikamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.