KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Muheshimiwa spika, toa matamko matatu muhimu kwa umma na kiwapa imani UKAWA ili kulinusuru bunge maalum. 1).Rasimu ya warioba ndiyo itayojadilliwa na vyengine. 2.) Nitasimamia mjadala usitoke...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kweli watanzania tunazoeshwa kukariri mambo bila kuchunguza ukweli wake kiundani. Mara nyingi tunasikia viongozi hasa wa serikali wakitaja "Tanzania bara " huku zanzibar ikiitwa "Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Wasalaam, Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele sura halisi ya UKAWA inajianika wazi wazi, hasa katika malengo yao kuhusu suala zima la Muungano! UKAWA umejikita hasa katika kuvunja Muungano...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wana JF, Kwa muda wa miaka 50 ya muungano, wazanzibari wamekuwa wakilalamika kuwa serikali ya Tanganyika inatawala Zanzibar ikiwa imevaa koti la muungano. Watanganyika nao walalamika kubeba mzigo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
UKAWA NA HATMA YA BUNGE MAALUM LA KATIBA. UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) wakiwa ni washiriki halali wa Bunge Maalum lililoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waliamua kususia...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Mchungaji Mwakasege anaongoza kongamano hilo ukumbi wa chimwaga UDOM pia yupo live StarTV.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Samahani wakuu, ntatumia maneno makali kidogo. hii tabia ya chama cha siasa kudeka kama mtoto wa kike anayeombwa unyumba haifai kwa mustakabali mzima wa taifa letu. unapokuwa mtu mzima halafu...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Kunaweza kutolewa ahadi hivi karibuni kuwa Wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba watarejea Bungeni na kujadili Rasimu ya Warioba tu. Kwamba,sura zote za Rasimu ya Warioba ndizo zitakazojadiliwa...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Yafuatayo ni mambo ambayo watu wengi hawafamu kuhusiana na katiba yetu ya mwaka 1977 yanayoifanya kuwa moja ya katiba mbovu na inayokosa uhalali wa kutumika lakini bado inatumika Tanzania mpaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa pamoja na tuimarishe serikali zetu mbili za sasa katika katiba mpya huku tukijipa muda zaidi wa kuwa na serikali moja ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta na Shehe Semtawa 17/07/2014 ‘Sitta ahadaa Watanzania’IMEELEZWA kuwa kitendo cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuunda...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Siyo mimi, ni magazeti ya leo ndiyo yanasema....jisomeeni wenyewe wala sitoi "my take"! Gazeti la Majira CCT yamkosoa Rais Kikwete Tuesday, July 15 2014, 0 : 0 JUMUIYA ya Kikristo...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Wakuu ile hali ya woga imezidi kuiandama CCM kwa kuiogopa CHADEMA na sasa hata baada ya CHADEMA kujificha ndani ya UKAWA bado CCM wanawayawaya. Hali hiyo ilimkumba Nape kwa kusema CHADEMA...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Kuna makundi mawili, moja linasema ijadiliwe Rasimu ya Warioba kama ilivyo bila kejeli na vioja na kujengwe hoja ama za kuikataa au kuikubali au kurekebisha. Kundi la pili lina Rasimu yake...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia kwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, wamemjibu Rais Kikwete wakisema watakuwa radhi kurudi Bunge la Katiba endapo kutafanyika taathmini na...
3 Reactions
173 Replies
11K Views
Inashangaza kusikia Rais akilalamika kuhusu UKAWA kutoingia Bunge Maalum la Katiba.Kikwete ndie chanzo kikuu cha kuwepo mkanganyiko katika Bunge Maalum.Alitoa msimamo wa chama chake katika hotuba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimemsikia Rais Kikwete nae akilalamika na kushangazwa kuhusu kukwama kwa mchakato wa katiba mpya hadi kuomba viongozi wa dini wapunge mapepo kuukwamua. Rais Kikwete hapaswi kupatikana kwenye...
1 Reactions
0 Replies
916 Views
Sauti za viongozi wa kisiasa, kiserikali na madhehebu ya dini kuwaasa na kuwasihi Ukawa warejee bungeni zimesikika, kazi sasa ni kwa wajumbe wa kundi hilo kuitikia wito huo au kuziba masikio...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, amesema Rais Jakaya Kikwete anapaswa kuombewa na viongozi wa dini kutokana na kuingilia mchakato wa Katiba Mpya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Akizungumza leo katika kanisa la TAG Mbeya, Rais Kikwete amewataka viongozi wa dini wasali kuwaombea Ukawa ili warejee bungeni kujadili rasimu ya katiba baada ya kususia. Amesema wabunge wenyewe...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom