KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) warudi bungeni akidai hawana sababu ya kwenda kushitaki kwa wananchi kwa sababu watawacheka na...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Tunaishi kAtika amani Na upendo wa kwel
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Yaani mtu akuteue kisha akutume nawe utumike kwa uadilifu na mwisho umkabidhi kazi aliyokutuma kwa heshma na adabu halafu ghafla aanze kukushambulia natena achagize na wengine kufanya hivyo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Jana alipokuwa anahojiwa na voa alisema muundo wowote unaweza kuvunja mungano,akatoa mfano wa Misri na Syria,
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wana JF> Zimeelezwa sababu kadhaa zinazofanya watu wapendelee muundo wa serikali tatu. Mojawapo ya sababu ambayo na mimi naiona, hata ufanyeje sintakubaliana na serikali mbili. Kuruhusu...
2 Reactions
0 Replies
894 Views
Nasikiliza taarifa ya habari vituo vyote vya tv yaani ITV, STAR TV, TBC, NA CHANNEL 10 vimewahoji watu mbali mbali kuhusu muundo wa muungano unaofaa lakini karibu wote wanataka muungano uliopo...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Kwa heshima na taadhima ninaingia humu jukwaani kutoa dukuduku langu ili wahusika wayaone, wayasome wenyewe au wajulishwe na walio karibu nao. Ninashukuru kuahirishwa kwa Bunge maalum la...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuwasilisha hizi link (mbili) mjionee wenyewe wana jamii. Link ya kwanza akiufyatua bungeni Link ya pili akikiri kumuunga mkono Jussa lakini wakiwa wamejifungia kwenye semina ya CCM Kwa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimeongea na wajumbe watatu wa ilyokuwa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba kuhusu msimamo wa Rais Kikwetu juu ya Serikali tatu. Wote kwa ujasiri mkubwa waliniambia kuwa Rais Kikwete anaunga mkono kwa...
7 Reactions
39 Replies
5K Views
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji...
11 Reactions
193 Replies
19K Views
Iko wazi kabisa kuwa ili kuulinda mfumo huu wa Muungano wa Serikali mbili,Zanzibar imekuwa ikijichomoza kila uchao kama nchi kamili. Kutokana na vuguvugu la mara kwa mara kutoka kwa...
10 Reactions
74 Replies
9K Views
WanaJF, Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za...
0 Reactions
101 Replies
11K Views
Habari zenu wana JF? Tangu Mh Jaji Sinde Warioba amalize kulihutubia Bunge la Katiba na KUWA mwiba Mchungu kwa wana CCM wenzake,imefikia kipindi watu wanahoji usalama wake kutokana na msimamo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania ina wasanii wengi sana na hao ni pamoja na rais kikwete. eti kamvisha warioba nishan ya utumish bora ndani ya muungano nani kasema? Je kuna siku anga itaungana na ardhi? Warioba...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Wadau naona DW wamerudia mjadala huu.Yupo Nape na wengine.Wenye nafasi tune DW
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Tuendelee kuwaita wasaliti wale wote wanaousema ukweli...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi Lipumba na Mbowe hawajatumika kuwaondoa UKAWA bungeni ili kuleta utulivu na kuheshimiana maana matuc na fujo zilikuwa zikiongozwa na kundi hili la UKAWA?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama serikali tatu ni hasara na ni gharama kubwa na ni kujitafutia matumizi yasio na lazima ,basi sababu hizohizo zinapatikana katika serikali mbili. Suluhisho ambalo ndio litakalo dumu hadi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Msikose kipindi cha dk 45 itv kesho j3 saa tatu usiku ambapo jaji warioba atanguruma kuhusu mchakato wa katiba
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Hatuwezi kufuta jina Tanzania kwasababu jina Tanzania tumelitangaza sana kiasi kwamba haitakuwa sawa kulifuta. Hivyo hata Zanzibar wakijitenga bado bara itaitwa Tanzania na sio Tanganyika...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom