KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Kutokana na kutokuwepo wajumbe wanaounda kambi ya ukawa na Baadhi Ya wajumbe Toka 201, wapo wabunge wa ccm Wanataka serikali 3 leo hawataingia bungeni maana hakuna Majadiliano Bali...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Fuatilia nami upate kile kinachojiri katika kikao cha 26 cha Bunge Maalum la Katiba. Mwenyekiti wa BMK anaanza kwa dua ya kuombea bunge ili wapate hekima na busara ya kujadili vizuri...
5 Reactions
567 Replies
42K Views
Njia pekee itakayoweza kusababisha wabunge wawe watulivu ni kutumia Lugha ya kingereza. Hii itafanya wachangiaji wawe wale tu wenye hoja za msingi na wale wapigamakelele itabidi wakae kimya.
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Taarifa rasmi iliyotolewa bungeni hivi sasa na mwenyekiti wa bunge samweli sitta ni kwamba ukawa wamerudi bungeni lakini wameenda moja kwa moja ofisi ya uhasibu ya bunge na kutaka kusaini posho...
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Jeshi la Polisi Zanzibar limeendelea kuuchelewesha mkutano wa wanachama wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwa madai kwamba hakuna askari wa kutoshakuulinda. Awali, mkutano huo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
From New Afrika Hotel Dar Es Salaam (28/4/2014) Akihutubia kama mgeni mwalikwa kwenye kongamano la uandaaji wa tuzo za mwanajinsia bora ukanda wa kusini mwa Afrika (SADC) Mwanasiasa Mkongwe...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hivi huyu jamaa mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa anasema kama UKAWA sio chama cha siasa nani kamwambia kuwa ni chama cha siasa, eti hawawezi kufanya mikutano na polisi hawatawaruhusu...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Rais wetu mheshimiwa sana Kikwete aliunda tume ya mabadiliko ya katiba na akamteua mtanzania ambaye aliona kuwa anafikia vigezo vyote. Kwanza ni mwanasheria aliyebobea, jaji mstaafu, mwanachama wa...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Kumekuwa na chapuo la kutaka serikali mbili hasa kwetu sisi wana-ccm huku baadhi ya watu wakitaka serikali moja na wengine tatu. Ikiwa "Serikali Mbili Zilizoboreshwa" zitapita mambo yafuatayo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mahesabu ya Ukawa ni kuacha waliowawacha waonyeshe ukweli wa imani zao mbele ya wananchi ,mwanzo ilikuwa vigumu kuwaona wanaohitaji kuifuata rasimu kama ilivyowakilishwa na Tume ya Jaji Warioba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mungano wetu. Sikiliza hapa
0 Reactions
3 Replies
909 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba juzi usiku alikuwa miongoni mwa viongozi na watu mashuhuri waliotunukiwa nishani na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu. Akiwa Zanzibar Mohamedi Raza alitokwa na povu la kudai serikali tatu na kusisitiza peoples power, lakini baada ya kufika Dodoma akaufyata! Wakati huo huo, gazeti la leo la Nipashe Uk 3...
7 Reactions
67 Replies
7K Views
Nimewaona Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba wanaoiwakilisha CCM wanavyojifanya kuwashambulia Tundu Lissu na Jussa Ladhu kwa kukosoa tawala za Mwalimu Nyerere na Abeid Aman Karume kuhusiana na...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Wangwana Tumechoka kusikiliza kile ninachopengda kukuita kama makalele ya wahubiri wa muungano kutoka tanganyika. Wengi wao huwa tunawamithilisha na wasomi vichaa AU MAPROFESA TAI, yaani...
3 Reactions
105 Replies
9K Views
Salaam wanajamvi, Muda mwingi tumekuwa tukisikia habari za muungano kutetereka kwa kile kinachoitwa kero za muungano zisizopatiwa ufumbuzi kwa miaka mingi lakini ukweli ni kwamba kero hizi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
dr lwaitama akihojiwa katika startv tuongee asubuhi amesema kuwa wajumbe walio wengi wa ccm kwa mtazamo kuwa rasimu ya 2 ya katiba ni maoni ya chadema,cuf na nccr wakati si kweli yale ni maoni ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Waheshimiwa, Hii nimeiokota kwenye facebook. Hii ni kutoka Zanzibar... Ndimi mbili ni za shetani, Ona mwenyewe video hii https://www.facebook.com/photo.php?v=10203773728407150
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom