KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Peter Msigwa Ni vita ya maneno ya hoja kati ya Mchungaji Peter Msigwa na Askofu Mstaafu Donald Mtetemela...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF. “Iko wapi Imani ile ya zamani ile ya kwanza ya mitume imepotea kwa watu wa MunguIko wapi ile imani ya kwanza, japo ni ndogo itafanya mengiiii, ………………………………..”. Huu ni wimbo niliusikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"Na Francis Godwin, Iringa ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya Iringa Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada ya Jumapili ya Pasaka leo kulaani vikali wale wote wanaowatukana...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Leo asubuhi katika kipindi cha nipashe radio one nimemsikia naibu spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na mjumbe wa bunge la katiba mh.Job Ndugai akisema, hatuwezi kupata katiba mpya...
3 Reactions
107 Replies
9K Views
Nimekuwa na mashaka sana na kinachoendelea katika bunge la katiba. Kikubwa hapa ni kukosekana kwa majibu ya maswali mengi likiwepo ili la faida ya kuwa na serikali tatu. Ukiangalia kwa kina majibu...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Nimekuwa nafuatilia namna mijadala inavyoendelea ndani ya Bunge la katiba, mijadala mingi imekuwa inaonyesha namna gani Mh. Jaji Warioba na wenzake wamekuwa watovu wa taaluma na wasiopenda...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo katika pitapita zangu,nimekutana na vijana wawili,watanashati wanasifia UKAWA.Hawa vijana walikuwa karibu na kituo cha bodaboda KLC ,Singida mjini. Kilichonishangaza ni pale walipo anza...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Waungwana, Siasa ya Tz imeingizwa sumu sasa kwanza ninapenda kujitambulisha rasmi na kuweka wazi ukweli na imani yangu Mimi nikisimama popote pale kama mzanzibari ninajitambuwa kuwa ni raia wa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna tetesi leo hii kuwa Samwel Sitta ametua znz kujaribu kupata muafaka wa muungano kati yake na Maalim Seif pamoja na mzee Hasan Nasoro Moyo lengo ni kujaribu kuwadhawishi Ukawa warudi mjengoni.
1 Reactions
37 Replies
4K Views
UWAJIBIKAJI(Responsibility) Uwepo wa dola yenye fedha,Tanganyika au Zanzibar na dola yenye Jeshi Tanzania kutatoa ukiritimba wa ufisadi ambao hutokea na hamna paka wa kumfunga mwenzie...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Baada ya UKAWA kususia vikao vya bunge la katiba,zaidi ya wajumbe 68 na wabunge wa majimbo 20 kujitoa nao katika vikao vya bunge la katiba.Wameona kwamba hakuna umuhimu wa kuendelea kukaa humo...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Thursday April 16th 2014 Julius S. Mtatiro TUMEJIONDOA RASMI KATIKA MCHAKATO WA KATIBA!! Tumeamua kuwaachia CCM waendelee na mchakato wa katiba wanayoitaka. Kwa sababu wameyakataa maoni ya...
15 Reactions
144 Replies
15K Views
Sasa kulikuwa na haja gani ya kuandika katiba? si wangefanya marekebisho ya katiba tu. Kingine, tabia ya viongozi waafrika kufikiri kwamba wao ni viongozi basi wana akili kubwa za kuyafinyanga...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa maoni ya wananchi, Ukawa ndani ya bunge la Katiba mpaka sasa hivi Muungano huu si Halali Je Serikali kwanini iendelee kutumia nguvu,gharama kubwa kwa kuulinda Muungano huu? Gharama hizi...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Wakuu Mheshimiwa Lukuvi alikwenda kutoa mahubiri hayo (kwenye link) kumuwakilisha Waziri mkuu, anacho kizungumza hapo bila shaka huenda kikawa nikwa niaba ya Waziri mkuu, na naamini hivyo maana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mzee huyu nguli yupo ndani ya kipindi hiki na anajaribu kuzungumzia uundwaji wa katiba yetu tuitakayo kutokana na rasimu ya pili ya katiba. -anashauri kuwa maridhiano ni muhimu ambapo anatolea...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam mwadhama kardinali pengo akiwa amefuatana na maskofu wake wasaidizi amesema wajumbe wa bunge la katiba wanatakiwa kuheshimu maoni ya wananchi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zanguni, Nimekaa nimejiuliza suluhisho rahisi ya huu mzozo unaoendelea kuhusu serikali mbili au tatu na nimepata ufumbuzi mzuri wa kudumu Tukubali serikali mbili, nazo ziwe kama hivi...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Nchi ya Zanzibar iliungana na Tanganyika ikazaliwa Tanzania. Zanzibar kuna Rais Ally Mohamed Shein. Naomba nijulishwe rais wa Tanganyika ni nani? au Tanganyika haijapata uhuru wake?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kero kubwa zaidi ya muungano ni Tanganyika kuvaa koti la muungano, hili ni kero kubwa sana tena sana ila nashangaa haihesabiwi miongoni mwa kero za muungano....Hii kero ni kero ya pande zote kwani...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom