KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Ndugu zangu, hebu na totoke usingizini. Tuamue kuwa na serikali moja. Nchi itaona miaka ya umoja na maendeleo. Watanganyika, wazanzibari, hii ndiyo njia.
0 Reactions
5 Replies
935 Views
Maaskofu 32 wa Kanisa Katoliki Tanzania, wametoa waraka maalumu wa Pasaka wakiwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuheshimu maoni ya Watanzania yaliyomo katika Rasimu ya Katiba na kuweka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
"Na Francis Godwin, Iringa ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya Iringa Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada ya Jumapili ya Pasaka leo kulaani vikali wale wote wanaowatukana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanganyika Tanganyika Nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanganyika Jina lako ni tamu sana Nilalapo nakuota wewe Niamkapo ni heri mama wee Tanganyika Tanganyika Jina lako ni tamu sana...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wala hakuna ubishi katika hilo.Ni Zanzibar ambako vugu vugu la kudai mabadiliko hasa ya muundo wa mungano na kelele za mabadiliko ya katiba ndiko yalikoanzia. Ni Zanzibar ambako ile thuluthi 2 ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu watanzania, hili suala la muungano lishaleta taabu mpaka hivi sasa. Ukitaka kuamini kauli hii ni kwamba fuatilia mikutano ya bunge maalum ya katiba. Mpaka sasa wameshindwa kuamua ni serikali...
0 Reactions
3 Replies
835 Views
Peter Kalihose > TANURU LA FIKRA Nimezipata kwenye chanzo cha kuaminika: Sultan Sayyid Jamshid bin Said yupo nyuma ya UKAWA na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka Bara wameanza kushtukia kwamba...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Forgive them, Lord, they only just missed boarding Flight MH370... By Jenerali Ulimwengu Posted Saturday, April 19 2014 at 08:41 It is going to be an even more expensive undertaking in...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikitafakari juu ya jina la chama tawala [chama cha mapinduzi] kuanzia mwaka 1977 ikiwa ni muunganiko wa TANU na ASP. Nikaenda mbele zaidi kwa kuwauliza baadhi ya wakongwe wa siasa ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mhe Sitta ni mwanasiasa wa mbwembwe za kisiasa. Alipoingia kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2005,anakumbukwa sana kwa kutoa sifa zake hadharani kuwa atakuwa Spika wa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwann watu wanadai Tanganyika? Tunadai tija au fahari tu ya Utanganyika?
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Lakini nauliza, ukivunjika Muungano leo hii ni nani ataingoza Tanzania Bara (Tanganyika) na kwa Katiba ipi. Wajuvi nisaidieni tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
994 Views
Kwa bahati mbay sana Watz wengi si watu wenye kuchukua muda mwingi kujiuliza mambo ya nyuma na kutafakari. kama mtakumbuka mwaka 1995 baada ya uchaguzi mkuu kulizuka mtafaruku mkubwa Zanzibar hali...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Wadau jamvini jf; Ccm ni utawala unaodondoka na unakaribia mwisho. Utawala kama huu huwa unajukita ktk utetezi wa kujilazimishia kupendwa na wananchi. Hata Gadhafi wa Libya hadi miezi kadhaa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kumekuwa na kasumba ya tabaka fulani kutumia mbinu chafu pale linaposhindwa kwa hoja. Mbinu hizo ni pamoja na kutumia vyombo vyote ilivyonavyo kulazimisha matakwa yake. Ni wazi kuwa hakutakuwa na...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Katika hari isiyo ya kawaida , star tv wameipotezea habari waliyoitoa kwanye muhutasari wa habari yao ya saa mbili usiku leo hii. Habari ilihusu mahubiri ya Askofu huyo kuwaambia wajumbe wa bunge...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
..wa-Tanganyika tunawabeza wa-Zanzibari kwamba hawajiwezi kiuchumi. ..tunawasimanga kwamba nchi yao ni masikini na si lolote si chochote. ..pamoja na kejeli zetu hizo, sijawahi kuona picha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa waumini wanaosali katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), linaloongozwa na Askofu Mkuu Zachary Kakobe, zinaeleza kwamba, Jumapili iliyopita katika...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
“Sote tuwe na Umoja” (rej. Yn 17:21) UTANGULIZI: Ndugu wapendwa, tunapohitimisha kipindi cha Kwaresima kilichokuwa na ujumbe: “Ukweli utawaweka huru” (Yn. 8: 32), tunawaletea ujumbe wa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Ivii ZZK pamoja na kuonekana ni mamluki na ukizingatia mmgogoro uliopo kati yake na CHADEMA ,Vipi hali yake kwenye hii movement ya UKAWA .. au wamemtenga na huku . ?? ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom