KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Tunaona muungano wa vyama pinzani ambavyo ni CUF ,CHADEMA ,NA NCCR MAGEUZI,wote wakitetea mfumo wa serikali tatu.? Lakini lengo zaidi likiwa ni kugawana madaraka,ambapo; CUF lengo likiwa ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunakuomba mkurugenzi mpya wa kiteto bw ndunguru uliye wasili hivi karibuni ujue kiteto kuna ukabila uchoyo, wivu, na roho mbaya kwa wananchi na viongozi ao ambao unasababishwa na tabia mbaya ya...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Anaongelea masuala ya siasa na uchumi. Fuatilia mdau wa maendeleo kama una wasaa. Anazungumzia vyanzo vya mapato. Vyanzo vya mapato vya serikali ni pamoja na: ...kodi ...leseni ...ada na...
0 Reactions
111 Replies
10K Views
Huyu jamaa ni mkurugenzi wa kituo cha utawala bora, anaitwa Thomas Ngawaia, ni mteule wa Rais Kikwete. Akiongea ITV katka kipindi cha Uzalendo, amesema rais ni mmoja tu, huyo anayejiita rais huko...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete ameendelea kusisitiza kuwa Tume ya Jaji Joseph Warioba haina ushahidi kwamba Watanzania wengi wanataka muundo wa Muungano wa serikali tatu. Kauli hiyo aliitoa...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Taarifa njema iliyonifikia:: Kila mwananchi wa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu Wazanzibar na asimame ahesabiwe!!!! Mambo yameiva, sasa vita yakusaka katiba mpya ya UMMA kupitia...
20 Reactions
94 Replies
11K Views
Kwa takribani mwezi mmoja umeisha bunge maarum la katiba mpya limekaa katika vikao vingi ili kujadiri rasmu ambayo wananchi wa Tanzania itabidi waridhie kama wako tayari kuifata au hapana. Lakini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kitendo cha wajumbe 201 kwenye bunge la katiba kufika Dodoma na kukubali kuburuzwa, kununuliwa na kukosa msimamo kinaonyesha wagombea binafsi hawatakuwa na maana nchi hii. Huku tukijua kutakuwa na...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu Wana JF na Watanzania wote kwa ujumla; Bunge Maalumu la Katiba mpaka sasa tayari limeshatimiza zaidi ya siku 60 lakini hakuna mwelekeo wowote wa kuweza kuwapatia Watanzania Katiba mpya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kosa kubwa na litakalotugharimu kwamiaka zaidi ya 50 mingine ni UKAWA kukubaliana na jeshi la polisi kusitisha mkutano huu wa kesho 19/04/2015 pale Zanzibar, jambo muhimu ni kulazimisha mkutano...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Wanajf mimi nashangaa tv hii inayojiita ya taifa toka bunge maalumu lianze kujadili rasimu ya tume Wanatuonyesha vitu vipya kabisa wala sikuwahi kufikiria kama vipo au wanavyo Kwa mfano...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Si nia yangu kuwataja hapa wenye silka hii. Rejea alichokisema Mh. Zitto bungeni , kwamba "muungano ni maridhiano , haijalishi idadi ya serikali. Mue na serikali 3, 1 , 2 , 4 , 5 ...... Kama...
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Wana Jf,,,nahoji uelewa wa wanawake waliopo bunge la katiba baadhi wa 201 na ccm pande zote mbili za muungano. Hivi, wameenda kujadili kwa hoja au kupiga mipasho ya taarabu pamoja na kushangilia...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
NA GAUDENSIA MNGUMI 19th April 2014 B-pepe Chapa Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar, Abubakary Khamis Ahadi kuwa Katiba Mpya, itawawezesha...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Msimamo wa CCM katika bunge la katika wa kushikiria msimamo wa serikali mbili kinyume cha rasmu ya pili ya katiba mpya inavunja muungano kwa namna ifuatayo: Kwanza kabisa kadiri ya CCM wanataka...
0 Reactions
5 Replies
805 Views
Kwa msomaji mzuri wa vitabu vya Fasihi atakuwa amesoma kitabu Cha Tamthilia cha KIVULI KINAISHI ambacho kimeandikwa na Saidi Mohammed. Ni jana nimekirudia kitabu hicho na kujikuta...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
bila kujali gharama idadi ya marais, majaji, mabunge, majina ya viongozi............... na mlolongo wa gharama za kujitakia Tunacholilia sisi ambao sasa tunaitwa 'WACHACHE' wakati ni wengi sana...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kila siku nimejiuluza maswali kadhaa lakini nakosa majibu kwanza kwa nini tume ya katiba inaitwa ya warioba wakati ilikuwa ni ya kikwete na wote walikuwa ni wateule wake? pili Kama takwimu Za...
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Kinyume cha serikali mbili za CCM zinazovunja muungano, muundo wa serikali tatu uliopendekezwa na tume ya rais ya mabadiliko ya katiba iliyoongozwa na Warioba inaimarisha muungano. Inaimarisha...
0 Reactions
2 Replies
603 Views
Katika sehemu mbalimbali ushauri umetolewa kwa UKAWA (umoja wa katiba ya wananchi) kuwa mafanye mambo kadhaa ili kupata katiba ya wananchi. Ushauri ulikuwa ni kwamba wasikubaliane na kura ya siri...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Back
Top Bottom