Kwa sababu waliobakia wote katika Bunge maalum La Kutunga Katiba ni wajumbe kutoka Chama tawala Cha CCM pia wakiwemo wajumbe wengine ambao nao ni wateuliwa kwa tiketi ya mlango wa nyuma wa CCM...
Kweli wakati mwingine Watanzania tunaambiwa tuna usahaulifu sana; hivi watu wameshasahau alichosema Lipumba kwenye kadamnasi ya Waumini miezi si mingi iliyopita? Wengine tuliona kauli yake kwa...
CCM na washirika wao wanaendelea kutoa vijembe juu ya kundi la UKAWA huku wakibeza umoja wao! Wanahoji juu ya ushirikiano wa CHADEMA, NCCR na CUF, na hasa ushirikiano wa CHADEMA na CUF, vyama...
Ndugu zangu watanzania tunatakiwa kukumbuka kuwa Nyerere alikuwa Binadamu kama sisi na pia alikuwa na mapungufu yake. Ni kuwa na mawazo mgando kufikiria kuwa hakuwahi kukosea. Katika kumkosoa...
Kila uchao jamii yetu imekua ikizidi kufanywa shamba la bibi kwa kulundikiwa mizigo ya kodi kila sehemu achilia mbali VAT, PAYE, Mikopo yenye masharti magumu, nk nk. Kibaya zaidi kodi hizo zimekua...
UMIUNGU WATU, UFIKE MWISHO TUSIWASUJUDIE NA KUWATUKUZA WANADAMU
Nimesikia mengi yakisemwa na viongozi na wananchi mbalimbali kwa kile kinachodaiwa kuwa Nyerere na Karume wametukanwa...
Mwaka 1992 "Wananchi Walio Wengi" walipendekeza Mfumo wa Chama Kimoja, yaani CCM uendelee, lakini busara za Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere zilliokoa jahazi! Watu sasa hivi...
ni wazo ambalo laweza kuwa haliko sawa kisheria kwa sasa ....
kulikua na mvutano mkubwa wa kura ya siri na wazi ... wakaamua kuwa na zote.
kuna mvutano mkubwa katika uboreshaji wa rasimu...
Waungwana
tatizo kubwa linaloikabili tz leo ni kwamba nchi inaendeshwa kiudini, na kwa bahati mbaya sana kuna vikundi fulani fulani vya dini vinadhani wao wana haki zaidi katik atz kuliko...
KAMA ilivyo baadhi ya Wabunge baada ya kupata madaraka hukimbilia mijini, tabia hii imetuathiri sana wananchi wa Kiteto tunapokosa mwailishi wetu mf sasa hivi kuna matatizo lukuki wanapojitokeza...
IMEELEZWA kuwa hakuna sababu ya kuendelea na Bunge Maalumu la Katiba, kama rasimu ya pili iliyopelekwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba inadhihakiwa na...
Wakuu Habari za Leo,
Hivi juzi wakati Professor Ibrahim Haruna Lipumba akichangia Hoja katika Bunge Maalum la Katiba alidai kwamba wakati watu wanamwita yeye kuwa ni "Mchumi Mahiri" wamedai kwamba...
"Each morning when I open my eyes I say to myself: I, not events, have the power to make me happy or unhappy today. I can choose which it shall be. Yesterday is dead, tomorrow hasn't arrived yet...
Wanabodi,
Tanganyika na Zanzibar ziliungana miaka 50 iliyopita na kuzaliwa Tanzania.
Hakika hatuna budi kuwaenzi waasisi wa Muungano huu Mwl Julius Nyerere
na Sheikh Karume. Kwani walifanya jambo...
Binafsi mimi ni muumini wa serikali moja, Sababu zinazo nifanya niwe muumini wa serkali moja nikama ifuatavyo:-
Serikali moja kwa maana TANZANIA itaundwa na Zanzibar pamoja na Tanganyika na...
Sababu tumetupia mbali mawazo ya Tume na kuendelea na mawazo ya (so called Wengi Bungeni); naomba kuuliza hii Katiba ya Muungano tunayojadili, mambo ya Ardhi nayo yatajadiliwa ? Je ardhi itawekwa...
Wana JF naomba kujua maana ya neno intarahamwe maana leo limekuwa kila mbunge wa bunge la katiba anayesimama analalamika na kudaiProf Lipumba awaombe radhi kuwaita jina hilo la INTARAHAMWE...
Huu ndio ukweli.....
1. Ni ukweli mtupu kua ,kelele zote za ''ukawa"juu ya serikali tatu ni kugawana madaraka ,kati ya chadema na cuf ..
Chadema - tanganyika .
Cuf - zanzibar
2. Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.