Tangu bunge maalumu limeanza wajumbe walio wengi (yaani wengi kutoka CCM) pamoja na matusi ya waziwazi, vitisho, dharau, vijembe, ubaguzi na mbwembwe wamekuwa wakisema waziwazi kuwa rasimu...
Nipo Chako ni Chako Dodoma. Muda huu na wajumbe. 2 wa kundi 201. Ukweli ni huu kwanza CCM WALIDUWAA, KUONA UJASIRI ambapo hautawahi kutokea kwao. joini hii wanna wasi wasi RAis atawakemea...
Napenda kutoa pongezi kwa Tume ya Jaji Warioba na wajumbe wote walio shiriki katika mchakato wa kukusanya maoni ya marekebisho au uandwaaji wa Katiba mpya. Mategemeo yetu ni kuwa Tungepata Katiba...
Kama ccm wanasema mchakato wa ukusanyaji wa maoni ya wananchi haukuwa wakilishi, inakuwaje wasipendekeze kurudiwa ukusanyaji wa maoni na badala yake wanataka watengeneze rasimu yao? Kwanini...
Sharti la kwanza mjumbe asiwe kiongozi kutoka serikali iliyopo madarakani na awe ajakuwa kiongozi kwa muda wasi chini ya miaka 3 na sharti la pili kwakukubali kugombea ujumbe wa bunge la kutunga...
baada ya kushuhudia jinsi wanasiasa walivyopambana kwa kukashfuana,kutukanana na kutishana, hadi kufikia baadhi ya wajumbe kususa na kutoka nje ya ukumbi.
Ni wakati muafaka kwa Serikali kuamua...
Wakuu katika hoja nayoisikia mara nyingi sana toka CCM ni kwamba mfumo wa serikali mbili unafaa na mapungufu yake yanatibika!Lakini pamoja na kuwa mtazamaji mzuri wa bunge sijapata kusikia yeyote...
Mie siku zote huwa sipendi unafiki na uviziaji wa hoja kama walivyofanya UKAWA leo, wamegundua kabisa imebaki siku moja tu ili bunge lisitishe shughuli zake kupisha pasaka, ikiwa hawajachukua...
"....akiongea na waumini wa dini ya kikristo alipoalikwa kanisani jumapili kwa niaba ya Mh Pinda, Mh Lukuvi alisema CCM imeandaa rasimu ya Serikali mbili kwa sababu serikali 3 zitavunja muungano...
Tumeisikia michango mingi inayotolewa na Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa kichangia na kutoa vielelezo na ushahidi ya takwimu zilizo kosewa. Tunakubaliana bila ya shaka yeyote ile kuwa...
Wanabodi,
Aliyekuwa Katibu wa Bunge, wakati wa Muungano ile 1964, Bw. Pius Msekwa, leo asubuhi, amekomelea msumari wa mwisho, lile jeneza la sintofahamu ya mahali zilipo Hati Halisi za Muungano...
Nilisema mapema kama bunge hili litamalizika ni bahati na leo yametimia wanasiasa wametimiza hujuma kwa tume ya Warioba,wako waliolihujumu direct na walioihujumu indirect kwa matakwa yao ya...
Kwa maoni yangu raisi anastahili lawama zote kuhusiana na mchakato wa kupata katiba mpya. Yeye aliruhusu kuanza kwa Jambo hili, yeye ndiye aliyeteua wajumbe wa tume, ndiye aliyepokea rasimu na...
Hii mipasho hata bara hakuna,ni balaa tupu.
Mtu asiyekunywa gongo hawezi kuja hapa na kumsema mwanaume kuwa hajaoa. Huyu mama anasema Jussa hajaoa tumefanya utafiti tukagundua kumbe hata yeye...
CCM wanajua wazi kabisa kwamba Tanganyika iliungana na Zanzibar ndo tukawa na Tanzania. Pia wanajua kwamba Tanganyika ikiwa nchi basi lazima Zanzibar nayo iwe nchi ili hapo juu pawe na federal...
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali zinaonesha kwamba Tanganyika kulikuwa na Mtu mmoja alieitwa J.K.Nyerere na Zanzibar kulikuwa na Mtu
mmoja alieitwa A.A.Karume idadi yao inakuwa
ni watu wawili...
..katika hotuba yake ya kufungua bunge la Katiba Raisi alimtaja kwa jina mkuu wa majeshi Gen.Davis Mwamunyange.
..Raisi akaeleze hofu zake kwamba huenda jeshi likapindua nchi ikiwa bunge...
Comrades,
Ninamshukuru Mungu kwamba angalau sasa wapo watu ambao wameanza kuyaona yale yaliyo kuwa yamejificha!!
Nimesema maranyingi juu ya athari za utanganyika na siasa zetu za kimihemko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.