Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Silaa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kinang'ang'ania kuendelea mfumo wa Serikali mbili kwa kuhofia kung'olewa na...
Baada ya zile hotuba mbili zenye utata za muheshimiwa Lukuvi ................... Ningekuwa ni mimi ningeachia ngazi. lakini kwa kuwa ni mCCM najua hakuna utamaduni kama huo hivyo jamaa atapiga...
WAKATI Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amewasilisha rasimu ya pili ya mabadiliko ya Katiba kwa Rais Jakaya Kikwete, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Kwa kumbukumbu zangu waziri wetu wa sheria, Dr.Asha-rose Migiro, alikuwa mjumbe tume ya Jaji Kisanga.
Kama tunavyoelewa tume ya Jaji Kisanga ilipendekeza mfumo wa serikali 3.
Nitamshangaa sana...
Seif Sharifu Hamad na viongozi wengine (CUF) waliopo katika Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, wanatakiwa kuwaunga mkono wana UKAWA kwa kujitoa katika hiyo serikali, Maana CUF na Sharifu ndio...
Wamezoea vya kunyonga vya kuchinja vimewashinda, sasa badala ya kupitisha rasimu ya katiba iliyopelekwa na tume ya katiba iliyofanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja kukusanya maoni ya wananchi, bila...
Ndugu wanajamvi napenda tutoe maoni juu ya maneno haya yaliyosemwa na karume akiwafariji wazanzibari walioonekana kupoteza imani juu ya muungano,tafakari maneno yake haya:
"...Ndugu...
Sina Mengi ya kueleza hapa ila nataka niwakilishe tu, Hoja yangu hii kwamba " UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA JK AMECHEMKA"
Kwanza naomba niulize kwa nini kamati ya katiba alichagua...
Aliwashauri vibaya kamati kuu eti wakiwafukuza akina mkumbo,mwigamba na zitto chama kitakua mara dufu, matokeo yake chadema inazidi kufifiakama tunavyoona kwenye chaguzi ndogo na jinsi...
Wana JF, pengine mimi ndio kilaza wa mambo ya katiba, na kama sivyo basi hawa watu tuliowapa jukumu la kutupatia katiba mpya ni vihiyo wasiostahili hata kuweka makalio yao kwenye viti vya Bunge...
Kama nia yao inavyolenga Serikali mbili kuelekea moja,CCM wamejipanga kuzipindua ikiwa zitapita,isikilize hotuba ya Lipumba kwa makini sana utagundua kitu kilichojificha,CCM wameingiza hoja ya...
Yan nmejarbu kufatlia bunge leo cha ajabu sasa, bora hta hapo mwanzo kabla UKAWA hawajatoka kulkuwa na wachache ambao badala ya kutoa mipasho walijitahid kuwakilisha walichotumwa na wananch...
najua watakuja wenye matusi kujibu hili, lakini naangusha swali hapa. Umoja wa Mataifa sio uswahilini,inawezekana kweli nchi ikawa haina uhalali ikakaa miaka 50 kwenye kiti hata kukaribia kukalia...
Wadau, naomba mwenye taarifa kamili anijulishe juu ya muda wa dakika 32 alizopewa leo William Lukuvi kujibu tuhuma alizoropoka Kanisani siku ya Jumamosi. Muda huo ni sehemu ya ratiba? au kila...
Ndugu zanguni,
Tokea kikao cha katiba kianze kumekuwa na mvutano mkubwa sana jambo ambalo mwisho wake limepelekea wengine kususa kikao.
Tumeshuhudia bunge likitumia siku arobaini kujadili namna...
Chama cha Mapinduzi nchini Tanzania kimegonga rasmi msumari wa mwisho kwenye jeneza la Mchakato wa Taifa kuandika Katiba Mpya.
Hii imejidhihirisha baada ya wajumbe wa bunge maalum la katiba...
Mchakato wa kutafuta Katiba mpya ya Tanzania ni wazi kuwa umeshikwa na kutawaliwa kwa asilimia kubwa ya watu wasikuwa na taaluma inayoweza kupambanua hoja na kufikia muafaka pasipo kupaza sauti...
semen msemavyo lakn bila serkali 3 hiyo siyo katiba mpya bali ni marekebisho ya katiba ya zamani kwan matatizo makubwa tz n muungano na mambo ya uchaguzi mengne yote n ya kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.