Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
Ndugu salam, kama nilivyojitambulisha jana, naitwa Lamar. Niliwahusisha mkasa nilioupata kwa mama dean, asanten kwa ushaur wenu. Niliamua kwenda magomen kupima afya kama mlivyonishaur weng wenu...
Ndoa ina miaka mitano. Tuna mjengo ambao bado una sua sua.
Hivi juzi tu nimedokezwa mke wangu kajenga kisirisiri kwao Bomangombe Moshi nyumba ya maana. Nimefnya utafiti na kujiridhisha ni kweli...
++
Ni wanaume wasiotunza siri.
++
Pengine unaweza kushangaa sana.Kote duniani,mwanamke anajulikana kwa kutoficha siri.Hupenda kugawana siri za mahusiano ya wanaume wao mbele ya wenzao kama...
Ni jijini Paris.
Full mipilau na kuku leo.
Police kudumisha ulinzi.
Bwana harusi 40yrs.
Bibi Harusi 30yrs.
Kukata keki kama kawa!!
Watu kibao wamearikwa.
Hii ni balaa na ni dalili za wazi...
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa...
habari zenu wanajamvini
naomba kufahamu mambo mawili matatu hivi unapokuwa na rafiki wa kiume wote mnafanya kazi ila asilimia kubwa mnapotoka outing hata akikuona unalipia bili mlizotumia haoneshi...
habari wapendwa,
Kwa wale ambao hatujaoa/kuolewa, je kuna umuhimu gani wa kuoa/kuolewa na Mcha Mungu (hapa siko upande wa dini yoyote)? Kwa kizazi hiki kwenye upande wa uaminifu,kuna tofauti ya...
Hivi jamani unamuelewaje rafiki yako wa namna hii ambaye anakukuta na mume/mkeo na katika story lazima akupe ya kukuumiza kukuabisha mfano..hahah shemeji kweli umefanikiwa sasa hivi kumshika...
Habari zenu wakuu!
Huwa kuna jambo linanichanganya kweli!unakuta kijana wa kiume amemaliza chuo kikuu,anafanya kazi kwa miaka kama mitatu hivi ila cha kushangaza bado anakaa kwa wazazi!kibaya...
Ndugu wanaJF. Naitwa Lamar kwa jina. Ninasoma chuo kimojawapo chenye jina kati ya vyuo vikubwa vya serikali. Nipo mwaka wa 3. Mwanzoni mwa mwaka wa pili niliingia katka mahusiano na afisa mkuu...
Tunajua wote kwamba, hutokea wanawake wakateswa sana kwenye uhusiano wao wa kindoa au kimapenzi na bado wakaendelea kukaa tu kwenye uhusiano huo. Inafikia hadi mtu anakufa huku akiona kabisa. Watu...
Japo sijafanya uchunguzi rasmi, ila nimenotice kuna ongezeko kubwa la single mothers especially kwa wale waliosoma and/or kuwa na mafanikio kimaisha.
Is marriage becoming old fashion and single...
Mpenzi wangu wa long distance relationship kweli kiroja. Mimi naishi Dar, yeye Morogoro. Amekuja kunitembela leo sababu mimi nipo off. Tupo chumbani sasa pindi nimeanza maandalizi ya mambo yetu...
Wana Jamii wenzangu nina hakika mko poa j3 ya leo.
Wakati natoka home this morning, friend of mine alinipigia akaniomba anipitie ofcn, kuna ushauri alikuwa anataka.
He come,
Alichoniambia na...
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..
i mean sura,shepu na kadhalika...
sasa nije kwenye mada......
siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.