AINA ZA HUSBAND
1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake
2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka...
Kuna wadada wawili wanaelezea faida za wao kuolewa na wazungu na maisha wanayopata kwa wale wadada wanaopenda na wanaoota na kutamani kuolewa na wazungu watazame sasa hivi wapate mbinu
Hivi ni sahihi kwa wanaume kuogopa kuoa wanawake wasomi, mi nadhani c sahih coz mwanaume kuogop kuoa msomi ni kujivua badhi ya kuw kichwa na kumpa mwanamke...achen uoga oaneni na muapndao...
Kwa walio kwenye ndoa
STORY FUPI YA WANANDOA
"Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono
na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa...
Sura unayoiona hapo juu ni sura ya mwanamke. Bila shaka umewahi kukutana na sura kama hiyo maishani mwako. Hata kama siyo inayofanana hivyo kwa kila kitu, bali ni sura ambayo unaweza kusema...
Hivi kwa nn wafanyakazi
Wanapenda kuwasilimia mabosi
wao mwisho wa mwezi ??
Leo asubuhi tu wakati natoka
mlinzi kanisalimia "shkamoo bosi"
nilipofika ofisini pia nimechangamkiwa sana na staff...
Hii kitu inaendelea sasa hapa hapa nchini.
Nimekuwa nikipewa taarifa hizi kwa Muda na weekend hii nimezithibitisha Mwenyewe.
Ni katika mkusanyiko wa nyumba tatu za mmiliki mmoja zote ziko ndani...
Ahsanteni kwa ushauri mlio nipatia kuhusu thread niliyo post juu ya wazo lililo kuwa linanisumbua la kutaka kujiua!
Nilikwenda kwa miongoni mwa wachungaji mlio nielekeza na kuombewa,na sasa nipo...
++
Ndugu wana JF nimekuwa nikitazama kwa makini mwenendo wa haki za wanawake au haki sawa ktk siasa,uchumi,tamaduni,ndoa na mahusiano mengineyo ya kijamii.
Jambo ambalo lipo wazi ni kuwa harakati...
Habari za siku nyingi wapendwa.nimerudi tena baada ya kimya kireeefu.
Leo nina maswali machache ningependa kupata maoni kutoka kwenu.
Je, mwanao ni rafiki yako? (hapa nazungumzia zaidi kwa wale...
Habari wa jf, nina boyfriend wangu nampenda sana ila hua sina mizuka nae sana kitandani , hata akiniomba nahisi kero napenda sana kua nae karibu ila si kitandani.ni fanye nini kuitoa hali hii?
Problem with Boys:
"They can make u believe that they luv u, even when they don't"
Problem with Girls:
"They can make u believe that they don't luv. u, even when they really do..."
TRUE OR FALSE
MUONEKANO- Awe mzuri wa kawaida tu, kwani naamini binadamu wote ni wazuri sema tunazidiana kwenye maeneo flaniflani, ila tuwe na uwiano kwenye height
AWE MCHA MUNGU- Apende kusali, hata kama...
BY ALISON DENISCO
When I was twenty years old and dating my first serious boyfriend, my grandma Carmela asked my mother point-blank if I was still a virgin. She didn't get an answer, but I came...
Habari zenyuu,
Rupee - Tempted to Touch - YouTube
This early morning, someone somewhere has send me this song and want a dance with me in the evening today, he said he is temped to dance with me...
Habarini za leo wanajamvi wenzangu wa rika langu na wakubwa zangu shikamooni!Ni siku nyingine tena amabayo Mungu wetu muumba katujalia kheri nasi twapumua hewa yake safi mpaka wakati huu na kwa...
Habari zenu wana Jf,
Kuna rafiki yangu anatarajia kufunga ndoa mwez wa nane mwishon, jana mchumba wake alienda kupima na ikaonekana ana ujauzito wa mwezi mmoja, sasa wanapata wakati mgumu kwa...
Wakuu, Heshima Kwenu.
Ningependa Kupata Experience zenu za nini Changamoto/Challenges Mwanaume ategemee Kuzipata Mara Baada ya Mkewe Kujifungua.
Vitu kama Game, n.k nk., Hata akina Dada/Mama Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.