Hi Wanandugu,housekeeper(mwanamke) Anahitajika Porini,awe Na Uzoefu Usiopungua Miaka Mitatu Upande Wa Rooms.Awe Anajua Kingereza Vizuri,awe Na Reference Watatu Wa Kuaminika Na Awe Na Relevant...
Je! unahitaji kuomba VISA ya kwenda China na moja ya vigezo vya kupata Visa hiyo ni barua ya mwaliko kutoka kwa mwenyeji aliyeko China either Kampuni au mtu binafsi?
Sisi tutakusaidia, tuwasiliane
Hello Wana JF,
Natafuta nyumba ya chumba kimoja cha kulala,jiko na sebule pamoja na choo ndani kawe self contained. Budget yangu ni 200K. Sehemu iwe ya kupaka gari, nyumba iwe na uzio, sio uswazi...
Ndugu habari,
Nna ufuta tani 2 natafuta soko wakuu,nilipokuwa nauza price imeshuka sana nw ninao tu store!upo magomeni mwenye kujua soko au kuhitaji tuwasiliane kwa 0712720080.
Shukrani.
Sent...
Wakuu,
SBT Japani wana ofa kabambe inayoendelea ambayo inakuwezesha kujipatia gari moja bure ukinunua moja na bei zake zipo chini sana. Anayehitaji tuwasiliane kwa email hii =>...
Habari wadau,
Naomba kwa mwenye kufahamu garage ya magari dar(wachina etc)ambayo wako vizuri na general service plus spare parts za nissan etc kuna kausafiri nataka nikakapendezeshe.
Natanguliza...
Habari wandugu!,
Nauza starlet garat BXU WHITE (SIO SPORT RIM) kwa 4.9.Kizuri zaidi bei inawezapungua sana kulingana na uwezo wako wa kubagain. Kwa mawaciliano 0782551067
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.