wadau natafuta maharage ya njano kwa bei ya jumla,alie nayo aseme yuko wapi,na bei kwa kilo.mimi nipo tanga.tuwasiliane kupitia 0719416969,bei ya ununuzi ni 800-1100,inategemea na umbali.
natibu jino dawa ni ya miti shamba unasukutua. Asubuhi wakati wa kupiga mswaki inakuwa maji ya kusukutua unarudia usiku unapotaka kulala. Unatumia cku 7 tu. Bei elf 10 lita 4 ni pm.
bado kama mpyaa kabisa haina mchubuko wowote haina tatizo lolote, nimeitumia mwezi mmoja tu, sababu ya kuuza nina hitaji laki nane ya haraka. bei sishushi nipo Dar Africana
Habari ndugu zangu wa jf napenda kuwafahamisha kwamba viwanja nilivyo navyo ni vya uhakika umeme upo sehemu zingine mpaka huduma za maji zimefika barabara ni nzuri ukubwa ni mita 20 kwa 25 bei...
Kwa wale wa arusha kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya boma siara karibu na masai camp kuna njia,umeme,maji ni mita 27 kwa 20 na pia kama unaitaji viwanja au shamba bado nicheki 0755710380 pia kama...
Kwa wadau wote wenye matatizo ya laptops na desktop masuala ya hardware, software ninarekebisha laptop na desktop zilizokufa, kwa gharama nafuu, nipo moshi... kwa mwenye problem ya repair na...
Habari zenu wapendwa. ..
Jamniii wenzangu mimi najihusisha na maswala ya printing natafuta tender kwa yeyote anayehitaji huduma au anayeweza nisaidia kupata
Usiku mwema
Ni nyumba ambayo bado haijaesha kujengwa, imefkia katika hatua ya Linta
Inauzwa
Bei: 22 milioni (Maongezi)
Mahali: Chamazi kwa Mkongo
Ukubwa wa kiwanja ni Mita 206
Kiwanja kilichotumika kwa...
Kwa mahitaji ya hardware products Arusha Tembelea Hardware yetu Ipo Arusha Nanenane kwa ajili Ya kupata vifaa vyote vya ujenzi.. Kwa mamwasiliano PiGa simu 0785555158
Karibuni sana
Wanajf,Chumba na sebule vinapatikana kwa bei nafuu sana.Elfu 70 kwa mwezi so utalipia jumla ya 420,000/=tu kwa miezi sita(6).Nyumba hipo karibu sana na barabara ya tabata mawenzi/kimanga.Haina...
Simu ipo katika hali nzuri japo nimeitumia vizuri.
Inafanana na hiyo hapo kwenye picha ambayo nimeitoa google images.
Nipo Dar es Salaam katikati ya jiji hapa Posta.
Ukihitaji nitafute kwa...
Gari nzuri Toyota Noah inauzwa Tshs 13.5m, ni gari mpya kabisa namba CYY.
Mwaka:1999
4 Wheel Drive,
Mileage:105,234km
cc:2000
kwa mawasiliano na picha zaidi piga 0754043280
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.