Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
ni mpya haijatumika kabisa nauza kutokana na dharura ya kifedha tu kama unahitaji piga 0752545447, price 350,000/= only
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza samsung note 3 mpya imetumika mwezi mmoja sh. 650, 000/= maelewano yapo
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Salaam!!! Kwa anayejua mahali hapa Dar panapouzwa marobota ya mitumba standard naomba anijuze. Ninataka kumfungulia biashara mdogo wangu. Robota moja linauzwa kwa bei gani? Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta fremu mbili tofauti, moja yenye ukubwa wa kawaida iwe kinondoni au mwananyamala kodi isizidi elfu 80 kwa mwezi, na ya pili iwe kubwa sana ya kuweza kuweka mini supermarket maeneo ya gongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kiwanja kipo tabata kifuru au wanaita hali ya hewa.kina urefu wa miguu 40 na upana 25.hati na document zote zipo.call me 0652740304
0 Reactions
5 Replies
38K Views
Wadau kwa heshima naomba kuwajulisha kuwa ninamchele mzuri sana daraja la kwanza! Mchele huu ninauuza kwa shilingi 1300 kwa sasa upo Dar es salaam! Pia tupo tayari kumletea mtu kokote aliko...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
kwa mlio UK HIYO NDIYO HOT DEAL,,,,SASA HIVI MWENYE CONNECTION WAPI TUNAWEZA KUPATA GARI YENYE SPECIFICATION KAMA ILIVYO TAJWA,HATA LEO HII BIASHARA INAFANYIKA samahani ni 2010 model siyo 2919
0 Reactions
1 Replies
787 Views
natafuta nyumba ya kupanga - vyumba vitatu au viwili na sebule. Bei kati ya laki isizidi laki na ishirini. Kama una tetesi nijulishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF, wadau ninauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka Tabora. Imechujwa vizuri tayari kwa matumizi. Bei ni sh.12000/= kwa lita.Kwa wakazi wa Kibaha na Dar es Salaam nitawapelekea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf jamani kunaviwanja vinauzwa hatua za mtu mzima 20 kwa 20 nyuma ya kiwanda cha Azam cola kilongoni vikindu mkuranga ni 5 km toka pale Azam cola na ni 25km toka sokoni...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
S4 inauzwa 650,000. Inakuja na charger na earphones. Still in great condition. PM kama uko interested.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam wana-JF, Nataka kununua shamba la hekari nne Mkoani Pwani, Mkuranga/Vikindu. Wadau kuna mtu ambaye anajua gharama kwa hekari ni shingapi (market value ya heka) kwa sasa. Natanguliza...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
blackberry inauzwa 120000 ntafute kama uko interested tufanye business
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Wapendwa Habari zenu Ninahitaji mwongozo wa kufungua kampuni ya uwakala wa bima. Na ni kampuni gani ya bima ambayo iko vizuri kwenye soko na haitaniwia vigumu kushawishi wateja wangu kujiunga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu wanajamii! Nahitaji gari ambayo ina hali nzuri na kuridhisha kwa shughuli za mjini na mara nyingine safari za Dar hadi Tunduma. Regards
0 Reactions
21 Replies
3K Views
epson xp 605 inahtajika wadau just ni pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza laptop aina Toshiba
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nauza kambale hawa kuanzia inch 6 na kuendelea bei ni 1500
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu ndg!! Ninaomba kujuzwa wapi naweza kupata chupa tupu mpya za plastiki mil 350/500. Kwa sasa nitahitaji chupa 1000-1500. Karibuni.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NAHITAJI KIWANJA morogoro road kati ya kimara rombo,kimara mwisho, mbezi yote ya kimara, kama kuna mtu anacho kiwanja kisichozidi mil.10 tuwasiliane, nina shida nacho haraka sana. sihitaji vile...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Back
Top Bottom