Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
isiwe tecno au nokia lumia check me 0716338838
0 Reactions
22 Replies
3K Views
kichwa cha husika hapo juu. Pickup inayofaa kukaa kijiweni kufanya kaz ya kubeba mizigo. Iwe tani moja na inafanya kazi sio kila siku kwa fundi. Mwenye nayo karibu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
LG optimus VU 250,000/=Tshs Accessories included 0659223322
0 Reactions
0 Replies
472 Views
AJO ni smart phone kutoka Indianipo katika haali nzuri kabisa ninaiuza ka 140000 tuu!! ina Android 4.2.3 inanarun 2g 3g hadi 4g Haina michubuko yoyote na haina tatizo lolote pia nichei kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza tv yangu ambayo haina tatizo lolote na imekuwa ikitumika kwa matumizi ya nyumbani tuu bei tzs 800,000 ipo Dar anaehitaji ani pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF,mimi ninashida ya costa kunabarabara nimepata na inalipa sana huko mkoani hapa nina budgeti ya kuanzia mil.5 ila mkopo nitalipa kupitia mshahara wangu na budget ya makato ni 500k...
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Ni mama mjasiliamali alikopa EFC bank tsh. 10m akiwa namwenzake, yeye ndiye aliyeingia dhamana bank kwa jina lake. wamelipa marejesho matano bado 5.5m ananyumba UKonga Moshi bar thamani ya kiwanja...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Wana JF Ninaishi Dar es Salaam. Nina ardhi ya kutosha Mpwapwa, Kongwa, Malinyi na Kilombero. Baada ya kufanya research ya kutosha, nimeamua niingie kwenye kilimo na ufugaji mkubwa wa kisasa ili...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nina re-condition battery za magari, pikipiki, ups,solar, folklift nk aina zote mbili za lead acid za maji na kavu(sealed) kwa kutumia teknlojia toka marekani. Badala ya kununua battery mpya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu,mim ni mfanyabiashara Wa viatu vya kike na nguo za kike,naitaj mtu yeyote ambaye atakua tayar tufanye biashara niwe namletea mzigo wa jumla na hata rejareja pia,tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Nipo Dar kwa yeyote mwenye hiyo TV(mpya au used) iwe flat screen au chogo sawa tu almradi iwe katika hali nzuri, ofa yangu ni laki 2 hadi laki 3 kulingana na hali ya TV yenyewe. Asanteni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu natafuta t-shirt za aina tofaut tofuti za round collar na form 6...zikiwa katika quality tofauti tofauti na ziwe plain kwa ajili ya kuprint kwenye mavyuo na maofisi...Nahitaji...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Plot ina ukubwa wa SQM 251, ni eneo zuri kwa mtu au tasisi inayotaka kuwekeza hapo maeneo ya kariakoo. Hati ipo imetolewa mwaka huu . mmiliki halali yupo . kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0657 14...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habar wakuu,natafuta iphone 4s Black,32/64gb used bt in gud condxn,350k 0754063341
0 Reactions
2 Replies
949 Views
LAPTOPS (KOMPYUTA MPAKATO) Toshiba core !3 processor 2.4 ram 4 hdd 500 & Toshiba Pentium processor 2.1 ram 4 hdd 500 mizigo ni new brand hata window cja install .bei ni poa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Niuzie modemu used ya mtandao wowote
0 Reactions
7 Replies
873 Views
Wanajukua tupendakuwaarifu kuwa tunatoa huduma za KIHASIBU na USHAURI wa KIBIASHARA(part-time basis) kwa wajasiriamali wadogo na wasaize ya kati ambao kwa namna moja au nyingine wanashindwa kumuda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu natafuta nyumba ya kupanga TABATA, Vyumba vitatu, master bedroom and two guest rooms. iwe na uzio pia parking ya kutosha. Budget yangu ni TSH 300,000 kwa mwezi. Kama una nyumba yako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzigo mpya umefika!! tuna Galaxy s5 made in KOREA bei ni 350000 tuu!! simu zina warranty ya mwaka mzima!! mawasiliano ni +255764361843 Pia tuna Samsung Galaxy s4 made in KOREA bei ni 250000 tuu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
mwali ni approx 32 acres.iko 34 kilometres from kigamboni na 17 kilometres frm vikindu.kuna 3 roomed hse with corrugated iron sheets with 2 outside washrooms.kunamud themed thatched hse with two...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom