Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari zenu wadau,natafuta simu hiyo nilotaja hapo juu aina ya HUAWEI Y530,Kiasi nilicho nacho ni laki 1,iwe na charge na headphones zake...hata kama imetumiwa muda mrefu ilimradi tu iwe orijino...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mwenye simu tajwa ajitokeze tufanye biashara.budget yangu ni 200k
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nahitaji flash za 2gb ziwe 7, 4gb kama 8 kwa bei ya jumla.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabati haya yanatokanje ya Tanzania na ni imara mno.Yapo 31 jumla. Ni rangi ya dark blue gauge 28 au meter 3 yanuzwa kwa tshs. 26,000/= kwa bati moja.bei ya dukani ni tshs. 31,000/= kwa bati moja...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habar wakuu... Nauza s2 ipo in a mint condition. Price 300,000Tsh.. For serious buyer....tuwasiliane 0767879784. Thanks.
0 Reactions
4 Replies
847 Views
Salamu kwenu wakuu.. Nahitaji nyumba ya kupanga, yenye vyumba 2 na sebule.. Iwe maeneo ya kuanzia Philips hadi USA.. iwe na umeme na maji na si lazima iwe self ila choo kiwe safi, na isiwe mbali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar zenu wadau, Natafuta chumba na sebule au vyumba viwili vya kupanga, iwe maeneo mazuri na kuwe na ustaarabu msaada wenu wadau,waweza nipm ntakutafuta
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je una smart phone ungependa kuiweka sokoni? nitumie picha na bei haraka nataka kutupa nokia ya tochi apa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Original Samsung galaxy s4 inahitajika fasta. Kama kuna mtu anayo ani Pm then tuwasiliane whatsapp tufanye biashara fasta. Isiwe na michubuko yyte Og tu. Bei Iwe negotiatable.
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Nokia asha 310 ipo on sale kwa 120000 lkn tuna punguzaa bei maelewanoooo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hallo Wana-Jf. Natumaini kila Mtu anajua Umuhimu wa Betri ya Gari yake. Hasa pale unapotaka kuanza Safar then unapiga "Starter" kisha Gari inakataa kuwaka kisa, betri iko Down au Imekufa Kabisa...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Nataka kuuza Tablet Inch 7 MPYA KABISA: Specifications zake ni: ● Display: 7",1024*600 IPS(16:9) ● Touch Panel: Capacitive 5-touch ● CPU: Rockchip 3066 Cortex A9,1.6GHz,Dual-core...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari.KWa wale wenye computers na wanahitaji anti-virus ya ukweli ina expire mwaka 2038 bei tsh.15000 tu.nipo Sinza-Dar es salaam. Napatikana kwenye number hii 0659880935
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Habari za kazi Ndugu zangu!! Kwa wale wote wanaosumbuliwa au kama una ndugu jamaa au rafiki anasumbuliwa na magonjwa Tajwa hapo juu (SIKOCEL & KISUKARI NA KUONGEZA CD4) napenda kuwaambia kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji flash za 2gb ziwe 7, 4gb kama 8 kwa bei ya jumla.
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Imetumika wiki moja tu ndani ya box na vifaa vyake vyote. Ina warant ya miaka miwili.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samsung galax s2 for sale in good condition. Price Tsh 270,000.00 Call 0713268615
0 Reactions
0 Replies
830 Views
2 BRAND NEW Original Samsung Galaxy S3 Each one for 450, 000/=. Call 0713 619476
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Ndugu wana jamii nahitaji pikipiki aina ya boxer 150 au platina 125 bajeti yangu ni sh 1 million.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza moderm ya Airtel bei maelewano kama upo tayari sema nikupe namba yangu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom