Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa anaeuza laptop tafadhari aniuzie bajet yangu laki moja! Ingawa ni bei nafuu iwe na hali nzuri kidogo jamani! Nicheki whatsap +19518884344 au nipigie 0716863406
0 Reactions
18 Replies
2K Views
nahitaji boxer used kwa 1m.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kama unayo iliyo katika hali nzuri naumelizika napesa hiyo ni pm!makubaliano yanawezafanyika pia.
0 Reactions
0 Replies
733 Views
  • Closed
specifications za hyo machine ni : Operating System: Windows 8.1 Pro 64-bit System Manufacturer: SAMSUNG ELECTRONICS CO., LTD. Processor: Intel(R) Core(TM) i3-2310MMemory: 8.2 gb RAM Graphics...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Stationary ya kisasa, iliyosheheni vitendea kazi vyote inauzwa Tshs 9,508,462/= kwa mchanganuo ufuatao: 1) Thamani ya bidhaa zilizopo ni Tshs 4,025,250/= 2) Thamani ya Non...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Guys natoa huduma ya kutengeneza logo au nembo kwa ajili ya biashara fulani,kampuni,website,event na kadhalika kwa bei nafuu kabisa tsh.40,000/= tu kwa anayehitaji logo awasiliane nami kupitia...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
:behindsofa:NAUZA SAMSUNG GALAXY S5 KWA TSH 350,000 TU NAPATIKANA DODOMA:amen: 0756849899 KAMA UPO TAYARI NJOO WASAP......!!!!!!!!!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naitaji simu ila iwe orijino na icwe tecno xo kwa bajeti yng ya elf 50 utanipa simu gani? Npo dar
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa atakaehitaji anicheki 0712923292
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nauza simu tajwa hapo juu for 300,000/= only. PM tufanye biashara. Napatikana dar es salaam
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natafuta kuku wa Malawi wakubwa waliofikia umri wa kutaga (majike 5 na jogoo 1 tu).. Niko Dar. Nani anauza? Bei gani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza digital photo frame kwa bei bei ya tsh.90,000/= tu......ni mpya ipia ina play videos and sounds na ina remote control
0 Reactions
12 Replies
1K Views
SIMU TAJWA HAPO JUU NIMEITUMIA KWA MIEZI MIWILI TU, IPO VIZURI KABISA, HAINA SCRATCH HATA KIDOGO, INATUMIA LAINI ZOTE/HAICHAGUI, BETRI IKO FRESH, NI SMARTPHONE, BEI YAKE NI 90,000/=. Nipo Dsm...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunatoa huduma ya utabibu wa Tiba asilia na tiba mbadala, kwa mangonjwa yafuatayo: MOYO MKUBWA MATATIZO YA UZAZI VIMBE ZA AINA ZOTE MWILINI MALARIA SUGU VIDONDA VYA TUMBO TAIFODI AMIBA NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba safi kwa ajili ya makazi ya familia au biashara kiwanja /Plot 440 Block C Nkuhungu East Inauzwa Mjin Dodoma, Nkuhungu Kituo cha mwisho cha Daladala CCM ulizia kwa Bw CHacha ukubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HELLO, NAJUA KUNA WACHANGIAJI WATAONA AJABU MTU KUHITAJI GARI YA 2M. ILA NINA FAHAMU KUWA WAKATI MWINGINE MTU HUUZA GARI KWA BEI NDOGO KUTOKANA NA SABABU ZA MSINGI NA ZA HARAKA. PIA KIASI CHA...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
BEI ni 390,000Tsh. nipo kigamboni dar es salaam kwa anayehitaji namba
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Narejea tena kutafuta gari la kununua. Mara hii ni kwa ajili ya jamaa yangu . Amependa jinsi nilivyotumia JF kupata gari zuri tena kwa bei nzuri,mpaka leo nadunda nalo safiiiiii. Sasa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Aina: Huawei E303. Bei: Tsh 18000. Anayehitaji Ani Pm. Asante.
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Wakuu nauza simu aina ya samsung galaxy s2 imetumika mwezi m1 na week 2 haina tatzo lolote na 7bu ya kuiyuza nimenunua nyingine ambayo ni s5 xo kama utapendelea nicheki kwa number hzo 0713943432
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Back
Top Bottom