nauza cm tajwa hapo juu ikiwa haina tatizo lolote wala single scratch, ina miezi mitano tangu inunuliwe. nimeamua kuuza coz nna some problems nataka kuzifix.
bei 170k negotiable
contacts...
Habari zenu wapendwa, Mimi naishi Dar-Kinondoni,,nina Desktop zangu used kama nane hivi, natamani kuzikodisha kwa mtu yeyote mwaminifu mwenye nia ya kufungua Training Centre hapa mjini..Naweza...
Natafuta mtu atakayenisaidia kuniletea Pulley or Accessory belt for engine, compressor, alternator ..
Kwa ajili ya gari aina ifuatayo:
Alfa Romeo 156 (2002), V6 engine 2500 cc petrol. Model...
ZILITUMIKA KWENYE LENTA.
ZIKO KWENYE HALI NZR(ZIMENYOOKA) NI ZA KUTOA MISUMARI TU.
ZIKO 35 PIECES.
NIKO DSM UBUNGO MAZIWA.
BEI 5000 @
0758293598 if interested.
:shamba liko Bagamoyo.unaingilia shule ya baobab.kama km2 toka barabarani
ni heka 8
:linakisima kilichochimbwa na machine kwajili ya umwagiliaji
:mabanda yaufugaji
:nyumba ya mlinzi n.k
bei...
Nauza line hizi tigo-pesa, m-pesa na airtel money
napatikana kijitonyama......bei maelewano
nitumie private message(pm) nikupe namba yangu kwa mazunguzo zaidi
natafuta frame isiyozidi laki moja dar kimara,mwenge,makumbusho au ubungo ,nataka kuanza biashara ndogondogo za uswahilini .Kama unayo tuwasiliane kupitia 0716 282670
natafuta frame isiyozidi laki moja dar kimara,mwenge,makumbusho au ubungo ,nataka kuanza biashara ndogondogo za uswahilini .Kama unayo tuwasiliane kupitia 0716 282670
M-POWER ni kampuni inayotoa huduma ya umeme wa jua(solar) za kukodi zenye uwezo wa kuwasha taa,radio na kuchaji simu kwa gharama nafuu kutegemea maitaji yako kwamfano unanyumba ya vyumba 3 utalipa...
Karibuni.Kwa yeyote mwenye kuhitaji simu ya Nokia original aina yoyote ile namkaribisha. Simu zina warranty ya miezi 12.Taja aina ya simu ya Nokia uambiwe bei. Na pia aina nyingine za simu...
Habari wana JF kupitia dirisha la matangazo madogomadogo tunapenda kuwakilisha bidhaa yetu hii kwa wale walio katika masuala ya ujenzi,tunatengeneza milango ya mkongo na mninga kwa garama nafuu...
Habari JF members.
Naomba msaada kwa yeyote anayekodisha au anayejua contact za watu wanaokodisha vifaa vya usafi mfano carpet, upholstery cleaners, na zinginezo. Pia vifaa vya bustani mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.