Nauza simu tajwa hapo juu kwa shs laki moja, haina tatizo, inadumu mpaka siku mbili au tatu na chaji kama huingii net, haina scratch, nimeitumia miezi miwili tu, bado inang'aa. Nipo dsm, ncheki...
Mbili ndani ya moja. Upande wa kwanza una vuymba viwili vya kulala jiko na sebure halikadharika upande upo ivo ivo. Ipo katika uwanja wenye ukubwa wa mita za mraba 800. Bei TZS 60mil. Mawasiliano...
SAMSUNG GALAXY S5
Original G900F (european variant)
With full accessories out of the box
3G model..
Specifications
5.1 inc screen.
Super amoled capacitive touch screen (432ppi pixe)
Quad core...
Ipo katika hali nzuri kabisa.
Alarm sytem
Remote key less
etc
Sababu ya kuuza: Nimeagiza gari nyingine
Bei: Tshs 5,000,000
Jinsi ya kuiona: Jtatu hadi Ijumaa MWANZA...
Habari wana jamvi. Nahitaji ofisi kama kichwa kinavyojitaja hapo. Nahitaji maeneo ya Sinza, Kinondoni, Kijitonyama au Mwenge. Angalau sq mita 30 isiwe barabarani iwe ndani kidogo. Tafadhali kwa...
Aina ya simu zilizopo ni.
Samsung SIII, kwa 550,000/=
Samsung Galaxy Y kwa 200,000/=
Blackberry bold 9000 kwa 450,000/=
Sony Xperia E kwa 240,000/=
Computer aina ya TOSHIBA (satellite) HDD...
Habari wana JF,
Kama unahitaji Gadget yoyote kutoka UK (New/Used), iwe simu, laptop, tablet, smart phone, digital camera nk... unaweza kuwasiliana nami. Ntakununulia na kukuletea kisha utalipia...
Macbook pro 17inches mid 2010
Specificatios
Cores 2 duo (2.6ghz)*2
Ram 4Gb
500gb HDD
NVIDIA Geforce (Duo GPU) perfect in heavy graphics intensives.
17inches LED display with optimum resolution...
Wadau salaam..Napangisha nyumba ipo Morogoro maeneno ya Forest Hill,Ni nyumba na servant quarter.Ina vyumba 4,Ukuta,Mini bar,Garden kubwa na ina vyombo vyote kama air conditions sebuleni na...
Napangisha nyumba kigogo mwisho self countrne laki 500000kwa mwezi vyumba ya kulala 2 mstar moja jiko dying siting room choo cha papulik ndani pia nje choo kipo parking ya gari 4 ndogo maji yapo...
Wakuu habari ya asubuhi? Nina kagari kangu Suzuki Omni ya 2010, ina km 53,000 namba BRS inauzwa bei 6,000,000/= ipo kwenye hali nzuri anayehitaji anipm.
ina scan printing coloured and black na inatoa copy imetumika miezi miwili bei elfu 80 kila kitu unapewa
CD ya installation n cable zake
namba ya Simu 0717184353
Tangaza bidhaa yako na times fm kwa kulipia gharama ndogo kabisa kulinganisha na radio nyingine. Times fm 100.5 ina vipindi vizuri vyenye wasikilizaji wengi hivyo ni nafasi nzuri kwani tangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.