Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
TOYOTA SPACIO I very good condition. Reg: T499 AXC Sport RIMS Km moved:166,000/- full AC Radio yes Insurance:compressive Manfn year 2000 Bei 6.2M,But Negotiable,only serious people...
1 Reactions
1 Replies
957 Views
Wakuu habari za majukumu? Natafuta gari ya kukodi kwenye harusi, gari aina ya , Range rover sport, Mercedes Benz S class au Limosine yoyote. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
[h=1] Dell Latitude E6400
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Salam wakuu.... Nauza kitanda na Godoro vyote kwa Pamoja na 220,000/- kipo katika hali nzuri na godoro limetumika mwaka mmoja tu bdo lipo kwenye ubora wake kama jipya tu vile...mazungumzo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Gari class B, ya mwaka 1999, ipo dar es salaam, bei 9.5m
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nauza simu kwa bei ya 140k. Nokia Lumia 610. Black in colour. OS: Window 7.5 Mango. Internal/Storage 8gb. Ina screen protector, sema sina charger yake ila nachajia cable na inakaa na chaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Toyota Ipsum inauzwa ya 1999,Model GF-SXM10G,Reg.No.T...CCQ,Milleage 103000km,Petroleum,Automatic,7 Passengers,Rangi Cream white iko kwenye hali nzuri sana,bei 7 Mil.nipigie 0655-880429.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Sony Cyber-shot DSC-H200 for Tsh 340,000/= Used for 2weeks (Camera only with Box) 20.1 MP Super HAD CCD 26x Optical Zoom Lens DSLR-style body with easy-to-grasp grip HD Movie (720p) Advanced...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza lain ya mpesa na airtel money zote mbil ni lak 3.kwa anayehtaj tuwasiliane kwa 0712620078
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Natafuta izo cmu ziwe original Namba Yangu ni 0763950393
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Bei million 9.5 ipo Arusha imetembea kilometer 170000 kwa mawasiliano 0767 931 887
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauza business yangu ya Stationery na Video library kwa pamoja (ziko two in one). Value (thamani) ya biashara ni milioni 7 including bidhaa, mashine, computer, printers, scanner, TV screen...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wakuu, ninahitaji kupata kindle paper white 3G kutoka amazon! Nilijaribu kuoda online kutoka amazon.com wakasema hawawezi kuship kwenye address yangu niliyoitoa. Najua kuna watu wanazo humu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Bei dollah 300 0752953860
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wanajamvi wenzangu. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, kunduchi au mwenge. Iwe na chumba cha kulala, sebule na jiko. Kwa yeyote mwenye taarifa here is my mobile no: 0653 84...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Architect available with super designs at an affordable cost..see the 3Ds drawings attached below. Tuwasiliane 0713339910 au 0788987848 bei ni rahisi mnoo
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Wakazi wa mwanza na mahali pengine tanzania...kama una simu inakuletea shida yoyote katika software usisite kupiga namba 0764731318 upate msaada zaidi.... Karibuni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nakupa 50 elfu na galaxy ace
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani watu wa dodoma na maeneo ya jirani na hapa.kunakitu kmefunguliwa hapa dom<cha ukweli,,ni maeneo ya stendi ya mmabasi ya kimbinyiko .karibuni
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Toyota carina ya mwaka 2000, mileage 200,600km, Automatic gear! Gari iko poa sana haina tatizo lolote. Bei milioni4 (maongezi yapo). Contact: 0752953860 uncledalali
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom