Natengeneza website za kisasa kwa utaalamu wa kimataifa kwa bei poa kabisa. Iwe unahitaji Forum, Blog, Website ya biashara, NGO au ya binafsi hakika umefika mahali husika. Baadhi ya features...
computer tajwa hapo juu inauzwa.
Processor = pentium R - Dual Core cpu -T4300@ 2.10GHz
Ram - 2gb
Hdd - 300Gb
Ina web camera
windows 8 Installed.
Utapata na cd zake original za zilizokuja na...
Habari wanajanvi,kama unaiyo starlet glanza ambayo ilipata ajali au iliharibika na hauna matumain nayo ya kuitengeneza na kuitumia baadae basi ni pm tuongee bihashara tafadhali,hata kama kunamtu...
SHULE YA KUPANGA(KUKODISHWA) INATAFUTWA.
Ndugu yangu ameniomba nimuwekee TANGAZO hapa. Anatafuta shule/majengo yanayopangishwa. Kama una taarifa , unajua ama uneona sehemu nitaomba...
1)Nahitaji concrete mixer
Capacity: kama cubic metre moja
Spea ziwe zinapatikana TZ
2)Petrol water pump.
Ni ya matumizi ya kawaida tu kama ku pump maji kutoka mtoni ili yasafirishwe kwenye tank...
Nauza laptop hp ina lcd inch 17. Ina OS ya Windows 8; RAM yenye 4GB, Processor speed 2.23 GHz, na HDD 500 GB. Iko loaded na features kibao ikiwemo Mozilla Firefox, Office 2010, Anti-Virus, nk. Bei...
1)Nahitaji concrete mixer
Capacity: kama cubic metre moja
Spea ziwe zinapatikana TZ
2)Petrol water pump.
Ni ya matumizi ya kawaida tu kama ku pump maji kutoka mtoni ili yasafirishwe kwenye tank...
NYUMBA IMESHANUNULIWA
SAMAHANI WOTE WALIOIPENDA
Nyumba Plot 28 Block M (MN 136) ina Vyumba vi3 vya kulala,, sebule, jiko, bafu na choo vikiwa ndani ina maji
Nyumba hii inapatikana Chaduru...
Wadau nauza TV aina ya Toshiba inches 32 LED mpya kabisa kwenye mabox yake.Zina Specification zote za kisasa kama HDMI na ni LED.Bei ni laki 6 tu.Ziko morogoro lakini naweza zileta popote.Kwa...
Ninatoa huduma ya kuflash simu na kutoa lock za nje kwa bei rahisi sana mfano iphone 2g,3g and 4 kwa 30,000 tu....nokia kubwa kwa 30,000 ndogo ni 10,000 pekee, galaxy na nyngn bei ni 30,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.