Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ps2 mbili zinauzwa Ya kwanza ni zle kubwa black na ya pili ni slim silva zote znacheza flash kwa anayehitaj anipm namba yake tuongee.
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Ipo Ununio, ina vyumba vutatu vya kulala, jiko, sebure na sehemu ya kulia chakula. Kiwanja chake kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 800.Bei 90mil. Maongezi yako. kukiona tuwasiliane kupitia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiwanja kipo Block A Kisukulu kilometer 1 kutoka gereza la Segerea. Kimepimwa na kina offer. Kiwanja kipo barabarani na kuna umeme tayari. Kina ukubwa wa meter 25 x 50. Bei ni maelewano. Piga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
call soon room for maongezi ipo tuna pokea mizigo aina yote makontena na hata loose TANZANIA CHINA INTERNATIONAL TRANSPORT COMPANY TEL: 0784006078 EMAIL:linusslaa@ymail.com...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
safirisha mzigo wako kwa garama na fuu, kwa wakati na salama call soon room for maongezi ipo tuna pokea mizigo aina yote makontena na...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Nauza ps2 ambayo ni mult system inacheza cd fake na original na pia ina uwezo wa kucheza game za flash Bei Tsh 150,000/
1 Reactions
3 Replies
841 Views
iPhone 5 for sale, IOS 7, 16GB Capacity, Black, Factory Unlocked.. 0716-904626, 0767-174757, Arusha..no charger. Package Includes: 1 iPhone 1 Set Screen Protector
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Inauzwa Samsung Galaxy S GT i9000 kwa Tsh.180,000. Used kwa 8months, ila muonekano kama mpya. Location: Iringa. Picha: Zitakuja baadae kidogo. Contacts: PM.
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Natafuta mashamba na viwanja maeneo ya Pwani na Dar kwa bei nafuu sana.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba kujua hii simu dukani inauzwa bei gani?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Manispaa ya Kinondoni imetoa majina ya waliofanikiwa kupata viwanja katika eneo la Mabwepande. Hongereni wote mli bahatika. Kinondoni Municipal Council
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wakuu, nahitaji King'amuzi cha Azam Tv, alienacho ani PM bei. Mimi niko Dsm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
E 66.... E71...E72 na old edition yoyote ile budget yangu ni elfu 50000.....iwe katika hali nzuri....especially kwa wakazi wa Dar na Moro. call or SMS 0768642266.
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Mwenye nayo tuwasiliane kwa 0715812160 au 0764452424.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba inapangishwa Kijitonyama nyuma ya polisi mabatini Ina vyumba 4 viwili masters ful tiles, ina choo na bufu public, ina sebule,daining,jiko,stoo ina parking ya gari 3. kodi laki 5( Tsh...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Features zake ni: 1. Kipo makumbusho karibia na lami 2. Ni cha corner 3. Square meter1500+ 4. Kinafaa kuwa yard ya magar, hotel, office building or appartments 5. Price Tsh 1.7 Billion (Maongezi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hallo Wana JF. "LETA IBADA SEBULENI KWAKO" Ni SLOGAN ya King'amuzi ambacho kinakupatia TV-GOSPEL CHANNELS zaidi ya 80. Na kukufanya uwe Connected na UWEPO Wa ROHO MTAKATIFU/MUNGU Muda wowote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza Gari aina ya Toyota Ipsum Model 2003 kama kichwa kinavyo jieleza. Bei ni Tshs. 9,000,000/=. Delivery Juu yangu popote Tanzania. bei ni maelewano ya Amani. Gari lipo Dar es Salaam. Conctacts...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bei 5.8mln, gari liko safi cc 1400, engene iko vizuri,kuna sehemu ndogo tu za kurekebiisha ambazo hazili garama sana...mwenye kuitaka njoo tzungumze maelewano yapo kdg...ni pm tufanye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wadau samahani nahitaji mtu anayefanya shuguli ya kuprint maneno/logo kwente T-shirt.Nahitaji Tshirt Lacoste a.k.a form6 ,tisheti ziwe zenye ubora wa juu zitahitajika kama piece 20 kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom