Nauza kuku (majogoo) wa kienyeji wenye uzito wa kilo 2 na kuendelea. Kuku nawafugia shambani Bagamoyo. Mwenye kuhitaji tuwasiliane. Bei elfu 15 kwa kila kuku.
Tuwasiliane 0684 599 704
Habari wana - JF,
ninauza kuku wa kienyeji kilo moja na nusu mpaka 2, kila mmoja TS. 20,000. Wapo kuku zaidi ya 80. Kama kuna mwenye interest ya kununua sms tafadhali kwa 0784-026-809. Eneo...
Mod wengi wamelalamika awaelewi kiswahili cha didy embu nimeamua kusikia kilio chao tuwaangalie na hili kama awaelewitena basi wasubiri braza
katika kumkumbuka marehemu mamayangu mzazi nimeleta...
Kwa yoyote yule anayemfahamu fundi mzuri naomba tuwasiliane kuputia no 0716-817581. Hata kama unajua ofisi ipo wapi nitashukuru. Natanguliza shukrani zangu.
Wadau,
Ninauza Gari tajwa hapo Juu ikiwa na sifa zifuatazo,
Odometre; 170,000Km
Fuel Type; Petrol
Tramsission; Automatic Gear
Engine Capacity; 2,790CC,
Price; Tshs 12.5Mil (Negotiable)...
Mimi Nina kituo cha ELIMU hivyo Nina uhitaji wa walimu wenye vipaji vya ufundishaji kwa masomo ya Civics,Geography,Book keeping,Commerce,French,mathematics na Physics.Piga au tuma SMS kupitia...
Natafuta chumba cha kupanga mwezi August mpaka October hata kama wewe ni mwanafunzi unapanga unaweza niachia wakati wa likizo nitalipa kila kitu. NB atleast km 1 toka General hospital. Pm me.
Kama ni mwalimu, una muda na unapatikana maeneo ya Tabata niPM.
Nahitaji mwl wa tution kwa kijana wa form two kwa muda wa week mbili. Masomo ni maths, physics, geo, biology na chemistry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.