Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza lita 20 kwa shilingi 140000;ni asali nzuri ya nyuki wakubwa kama unahitaji mzigo basi tuwasiliane kupitia no hii 0688161818 niko Makambako -njombe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman wapendwa natafuta mini laptop ya 150,000/=. mwenye nayo au kama kuna mtu mwenye taarifa ya zinakopatikana kwa bei hiyo anijuze. itapendeza kama itapatikana kwa dar au dodoma,
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Simu tajwa hapo juu zinahitajika bajet 700,000 ni PM Ziwe mpya
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau. Nina iuza pikipiki yangu aina ya SanLG niliyoinunua dukan septemba mwaka jana. Ipo katika hali nzuri kabisa, haijawahi pataa ajali wala injin haijaguswa. Inafaa sana hasa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Aliyetayari Apige Sm 0755570231 Kipo Nzega Bei Lak Tisa Na Nusu,hakuna Dalali,kipo Barabarani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kesho saa 4 kamili asubuhi TRAVENTINE HOTEL MAGOMENI MAPIPA kutakuwa na mkutano mkubwa wa mawakala wanatoa huduma za pesa kwa simu za mikononi Tanzania Unakaribishwa kwenye MKUTANO kama ww ni wakala
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Cannon IR 2016J iko kwenye hali nzuri.Call 0759045002 for details
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau nahitaji laptop compaq presario cq60 au hp palivion dv6000, iwe na ram >= 2Gb, Hd >=320,
0 Reactions
1 Replies
783 Views
habari wakuu nauza subwoofer yangu aina ya sea piano bei tshs.50000/=.Zingatia: haina redio wala sehemu ya memory card ni spika tu na tweeter zake mbili.haina tatizo lolote inapiga mzigo kama...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni PM, viwanja vina ukubwa wa 28 x 28, bei milion 4.5. Vipo maeneo ya Pugu Kinyamwezi.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa wale wafanya biashara wanaohitaji kufanya biashara ya mazao hasa ya mchele wa mbeya na sembe ya Iringa wawasiliane nasi ili tuweze kuweka vizuri mipangao ya biashara. Pia wanaopenda kufuga...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
naulizia bei ya iPhone 4s
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni charger ya Laptop ya TOSHIBA. Iko poa kabisa. Niliuza Laptop ila charger nikabaki nayo kwakuwa niliyemuuzia alikuwa nayo. Bei 20,000
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa anayehitaji piga simu namba 0716900549
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Kitanda cha futi tatu na nusu kinauzwa kwa bei ya sh.30,000 tu. KASORO ZA KITANDA. Kimechakaa kidogo na hakina chaga moja. MAHALI DSM, TMK, mtaa wa Mashine ya Maji no.5, uliopo karibia na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba kwa yeyote aliye gari tajwa hapo juu iwe tani moja na iwe kwenye order. kumbuka kutaja bei yake , pia isiwe ilipata ajali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu bado mpya naiuza kwasababu hii sinu nimepewa na mm sipendi aina hii ya simu kama uko powa na.0713626027 au text whatsapp.
2 Reactions
2 Replies
1K Views
please nahitaji suzuki carry ya kununua iliyo kwenye hali nzuri bei isizidi 5M.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1993 Suzuki Carry iliyoingia bongo Miezi mitano iliyopita inauzwa. Gari iko jijini Mbeya - Imeingizwa nchini ikiwa na km 52,000. Haijawahi kutumika kwa biashara, ukiacha safari ya kutoka dsm to...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Spy Watch Camera waterproof for Tsh 215,000/= * 8GB internal memory * Video:1280*960, AVI,30fps * Photo:3264*2448 JPG * Battery norm:3.7v/260mAh * Charge hours:2-3 hours * Package =...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom