Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Naomba kujua kama max malipo wanauza vocha zao.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
nichek nikuletee 0716-844978
0 Reactions
2 Replies
914 Views
contacts 0719681821 50,000tsh.wa mikoani watatumiwa either kwa wateja wa jumla au rejareja.wa mikoa ya moro,njombe,songea,moshi na arusha usafirishaji ni buureeee.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nauza Used Batteries za Solar (Dry Cell) Zenye Ampere 170 na Volts 12. Zinaweza kutumika kama Battery Bank ya Solar Power au Umeme wa kawaida. Ziko mbili na kila moja inauzwa Laki Mbili tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Used Batteries za Solar (Dry Cell) Zenye Ampere 170 na Volts 12. Zinaweza kutumika kama Battery Bank ya Solar Power au Umeme wa kawaida. Ziko mbili na kila moja inauzwa Laki Mbili tu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba nisadie kwa yoyote anaye jua nyumba nzuri ya kupangisha.. Kwa mwezi iwe walau laki 3..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Kinondoni,Mikocheni,au Sinza. Iwe chumba kimoja self contained ama viwili bei isizidi.Iwe kwenye mazingira mazuri kwenye usalama sio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12, Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98 Engine iwe 1KZ Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki! Unayo PM
2 Reactions
67 Replies
9K Views
title inajieleza..kama unayo weka bei tufanye biashara kesho mapema
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Nahtaji vyumba 2 vya kupanga -chumba na sebule, iwe mandela road dsm kuanzia external-tabata njiapanda segerea, iwe na umeme+maji na usalama. unaweza ukan-PM, au ukawepa no cm!
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Gari mpya toka nje Ni Mark X 250 Plus registration Ndo imeingia tu toka nje Automatic transmission 2004 Bei ni 23mil Mwaka mpya mambo mapya Na Passo za Xmas bado zipo kwa bei nafuu tu!! Serious...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kampuni ya Chinaworldbuz Company (CWB) inakuletea mashine nzuri na za kisasa kwa bei nafuu! Nunua eggs incubators, car wash trolleys, CD duplicators, sugar and salt granule packaging machine kwa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
kwa mwenye cm tajwa hapo juu anitupie namba tufanye biashara me nipo mbeya
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Habari.. Nauza cd ya Need for speed SHIFT ya ps3 kwa 30k.. Karibu 0787 408180
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Natafuta nyumba kupanga maeneo ya changombe temeke rooms tatu ..moja iwe self kitchen na parking space iwe na fance..maji yawepo Budget yangu 350000 kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Vipuri na mapambo ya pikipiki
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Kwa kuthamini sikukuu ya x-mas nawaletea kwenu bidhaa kali ila kwa bei ya kutupa kabisa. Products zenyewe ni kama vile: •iPhone 5 (used) kwa bei ya Tshs. 750,000 tu. Simu ni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nauza pikipiki aina ya kinglion nimenunua mwezi wa pili mwaka 2013,bei milion moja tu.inafanya kazi ya boda boda,nicheki kwa namba 0655 44 44 40
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta vyumba viwili dar, bei isizidi 70
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom