Kwanza ujue haitembei, hivyo inauzwa kama skrepa au kwa yule anahitaji kuifufua au kwa ajili ya vifaa.... Point ni kwamba inauzwa complete...
Utangulizi>>>
gari ni ford explorer xlt engine...
Type:Toyota reflet
cc: 1300
mileage:91,170
full ac,abs and music system
Gari ina hali nzuri kama inavyoonekana kwenye picha...serious buyers only call 0717297923
Wadau JF,
Nataka kununua simu ya mkononi ya kike,nadhani wengi mnajua simu za kike almost huwa na rangi kama nyekundu pink nk,iwe NZIMA na touch Screen,kamera ya ukweli na iwe fast kwenye Internet...
samsung chat gt-e2222 inauzwaa bei chee 70000 ! tu na pia kuna pC USED FUJITSU HD 40 GB NA RAM 500MB BEI 200000 TU WITH ""Microsoft office,adobe,music and video players na ant virus avast 1yr ka...
Simu iphone 4s origino inauzwa na ni used imetumiaka miezi 7 tuh , ipo katika condition nzuri haina michubuko , inakila kitu ktk box kasoro earphones tuh , simu pekee bei 650000/= ukitaka na...
Simu zilizotajwa hapo juu zinauzwa kwa bei rahisi,wasiliana na mimi kwa biashara!,pia tunatengeneza simu na computer...kwa mawasiliano piga simu number 0714033736!
Sent from my BlackBerry 9900...
Ekari 30 za shamba zinauzwa kijiji cha Msoga, Bagamoyo Pwani. Eneo hilo lipo kilomita mbili(2) kutoka barabara ya Chalinze kwenda Tanga/Moshi. Mnunuzi awe tayari kulipa asilimia 10 ya mauzo kama...
Haya jamani 2014 ndo hiyo. Timiza malengo yako ya upandaji miti ili uboreshe mazingira na ukuze uchumi wako na uchumi wa nchi kwa ujumla. Miche ya miti aina ya pain inapatikana kwa Badian kinwiko...
Wadau,
Nahitaji Galaxy S1 urgently so kama kuna mtu anauza tufanye biashara.
Requirements:
Bei iwe Tshs. 250,000
Simu zinahitajika 2 zote Galaxy S1
Simu ziwe mpya
Ziwe original...
Shamba! lenye ukubwa wa Hekari 11 Linauzwa sh 30M Kibaha Madafu km 7 kutoka Barabara ya Morogoro.lina miti ya mikorosho michache halija pimwa. Ukiwa INTERESTED Usisite kuni PM Au kunipigia...
Hey.! Kuna business ya laptops and tablets brand new mouse, begi na keyboard cover unapata.! N bei chee maana zinatoka moja kwa moja kutoka kiwandan na bei ya kuuza n hyohyo.! Kuna ma bro yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.