Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Check 0766076721,dar es salaam Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
781 Views
I need motorola droid razr maxx kama unayo ni PM tuongee business my budget ni 300k-400k top
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Kwa yeyote anayetaka ASALI mbichi ya nyuki wakubwa kwa bei ya jumla tuwasiliane. 0719180972 nipo dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa IFM wote kwa pamoja tusogee jukwaani tujipatie hostel mapema...! mandhari nzuri kwa ajili ya kujisomea na maji ni uhakika na umeme upo full time. Kwa wanaohitaji tuwasiliane hapa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
wadau naomba mnisaidie kupata eneo la biashara ya stationary na car wash,tafadhali naomba msaada wenu.ni inbox kwa kunisaidia ndugu yenu .thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
938 Views
heshima kwenu! nahitaji simu kama uko nayo na unauza isizidi laki moja kwa bei ni pm sifa za ya kwako tufanye biashara fasta
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Habari,nanunua dish la dstv bila decorder
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Naomba kujua wapi nitampata tutor wa ERP management software, Asanteni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa yeyote mwenye uhitaji wa pumba hizo,tons nyingi tafadhali tuwasiliane ntakusupply mpaka mlangoni.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza simu aina ya Nokia Lumia 520 ipo katika box lake ni mpya imetumika week 1 tu na inakila kitu kuanzia charger,earphone na cable yake....bei ni tsh 250,000....kwa mawasiliano nichek 0715 369096
0 Reactions
3 Replies
1K Views
sqm 1645 (bei 55m),1600 (bei 45m) na Wazo-Makamba,sqm 1400 (bei 25m).Vyote huduma ya maji na umeme zipo na gari inafika mpaka nyumbani. 0754 856277
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanaJF!! Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo,!!! Nina ombi moja tu kwa aliye na accounting packages zifuatazo (Ukipata hata 2 au moja sio mbaya) Tally 9.2,Quick Books Pro 2012 au 2013...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Wakuu salaamu Kwenu. Penye Wengi hapakosi Mengi. Nataka Kununua Gari, Itakayonifaa Kwa Safari ndefu ( ARS-DAR-MZA) etc mara Mbili mpaka 3 in 6 Months, bila kuwa na wasi wasi na safari, Niwe...
0 Reactions
62 Replies
14K Views
kina sqm 1600(40m*40m),umeme na maji vipo.Gari inafika mpaka nyumbani.Bei 45milioni. 0754 856277
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Wakuu nahitaji tiles za kuweka kwenye sakafu kama box 20 hivi. Ambaye anawrza kunisaidia na kunitajia bei zake . Thankx in advance:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nachora ramani za majego kwa bei nafuu, napatikana akiba dsm kwa mawasiliano 0714 155854
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Serious buyers tu imetumika ipo kwenye hali nzuri sana PM kama unapenda Tzs 820,000 tu. Ina cover, black, 16Gb
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa kupata kiwanja kizuri maeneo ya visiga madafu tafadhari awasiliane nami. kiwanja ni robo eka (kiko flat na miembe tanga miwili) wewe ni kula tu kila msimu) sio porini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
s2 at&t (samsung ghs i997) for sale, three weeks used laki nne.
0 Reactions
4 Replies
758 Views
sssssssssssssss
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom