Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Natafuta nyumba ya chumba na sebule self contained au hata chumba kimoja self contained ila kiwe kikubwa maeneo ya kinondoni, magomeni, mikocheni na moroco. Iwe karibu na barabara na kuwepo na...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Poleni kwa kazi na majukumu mengine ya kila siku wakuu, Sio mwenyeji sana wa morogoro manispaa na nimehamishiwa hapa kikazi, lengo langu ni kufahamu kama kuna VITUO VILIVYOIDHINISHWA KWA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TYPE CPU (GHz) RAM (GB) HDD (GB) CAMERA PRICE (Tshs) DELL 630 2.4 1 60 NO 350000 DELL 630 2.4 2.5 100 NO 400000 DELL 630 2.4 2 320 NO 400000 DELL 630 2.4 1.5 100 NO 400000 DELL...
0 Reactions
6 Replies
909 Views
Hi! Nauza mayai ya kienyeji trei elfu 15 na asali lita moja -elfu tisa kwa mawasiliano ntafute kwa namba 0757 753 014
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wapendwa naombeni msaada wa kupata chanell za bure, me mpunga umenikatikia. nackia kuna maujanja wapendwa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamvi!Kwa wale wapenzi wa samaki karibuni samaki wa maji baridi sato na sangara.Tunauza jumla n rejareja.Tupo kimara mwisho tunatazamana na stand y magari ya kwenda mjini.Bei zetu ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza simu hiyo kama unavyoiona sh laki 4 tu,napatikana kwa simu hii 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nauza ipad 32gb ,3g, wi fi bei ni laki tano na nusu tu.if ur intersting just pm me.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kiwanja kinahitajika maeneo ya Mbweni kiwe kimepimwa, na ukubwa kisipungue sqm kati ya 1350 na 1500 bei isizidi 30m. kwa mawasiliano piga no 0773 944 944.
0 Reactions
3 Replies
790 Views
kwa wadau wote. Ninauza gari aina ya nissan pick up model t-gd21. Inatumia petrol. Cc ni 1627. Inatembea ila inaitaji marebisho ya kabureta na matairi sio mazuri karibuni kwa pm wakuu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
salama.. nahitaji hii simu(lumia 620) kwa 200000.. iwe haina tatzo lolote..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Make:Toyota Model:SURF Engine no:1kz Transmission:Automatic Distance:190000km Extras:all payments valid until 2014(road licence and insuarance) dual air bags,power mirror,power window,new...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo man u vipi, Hao ni man city
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Kiwanja kipo Moshi mjini,maeneo ya PASUA.Kipo eneo zuri mita 200 kutoka barabara ya pasua-mbuyuni.Kipo karibu na soko jipya.Bei mill22,kwa maelezo na mwawasiliano zaidi piga 0713792533/0684570069.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu... Natarajia kununua Nissan March 2004, nahitaji kujua kama kuna mwenye uelewa juu ya gari hizi uzuri na matatizo yake....
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu natafuta compressor washing machine kwa ajili ya kuoshea magari. Natafuta inayotumia petrol mana nilipo hakuna umeme. Mwenye nayo au anayejua zinapouzwa na bei yake naomba anijuze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We offer all e-mail users with a FREE 07366xxxx fax number that is linked to your e-mail address. You can now receive all your faxes in your inbox the same as a e-mail. Should you be interested...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie ni aina gan ya digital camera n mzur na bei zake zikoje? pia sio mbaya kama mkiniambie sehemu zinakouzwa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Make:Toyota Model:SURF Engine no:1kz Transmission:Automatic Distance:190000km Extras:all payments valid until 2014(road licence and insuarance) dual air bags,power mirror,power window,new...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Back
Top Bottom