Wakuu nauza kampuni zangu>
moja inajishughulisha na usafi ktk maofisi na majumbani. imesajiliwa na leseni yake inaruhusu kufanya usafi kwa ujumla yaani unafanya usafi wa aina zote: inaitwa(...
OFFER OFFER OFFER
Jipatie laptops kwa bei nafuu kabisa
DELL
RAM 2GB
HARD DISK 60GB
DVD WRITTER
ITS DVD ROM
Bei ni 310,000 tu zimebaki pc6 ukichkua zote tunakupa kwa 290000
Pia...
Wakuu
Kwa yeyote mwenye nalo au ana taarifa za mahali linauzwa tafadhali anijulishe kwa PM.
Sina uwezo wa kununua jipya; Nataka used au hata lililo down kabisa nikafufue. Ninachojali chassis na...
MAHALI: IRINGA MJINI MAWELEWELE (Jirani na yanapojengwa makao makuu
mapya ya Mkoa)
UKUBWA: METER 35 X 25
Usafiri unapatikana ni Tsh 400/= kwa daladala kutoka stendi kuu...
Kuna kampuni kutoka uholanzi inahitaji kampuni au agent itakayokuwa inawasambazia nyama zao za ngombe nk hapa tanzania kwa anayehitaji hii deal ani contact me 0716567467 ili nim connect nao
Kwa yeyote anayeuza simu tajwa hapo juu anaweza kuni PM tuongee biashara
VIGEZO VYA KUZINGATIA:
1: Iwe mpya au iliyotumika, kama imetumika isiwe imechoka au isiwe na crack mahala popote
2: Iwe ni...
Ipo maeneo ya Bigwa mtaa wa Lukuyu,ina uwanja mkubwa sana wa kuweza kujena nyumba zingine!imejengwa mpaka level ya rinta!ina vyumba vinne,master,sebule na jiko!bei ni 19.5/=m mazungumzo yapo...
guys nina shida sana na hio modem kwa mtu anayeweza kuniazima au kuniuzia anaweza kupost au kuni pm. Najua wengi mnazo makabatini mi naihitaji kuna experiment fulani nataka nifanye sema hazipo...
viwanja ambavyo vipo karibu na bandari bagamoyo maeneo ya kitopeni vinauzwa kwa Matumizi Tofauti kwa mfano ku invest, makazi... n.k,,
kila square meter moja ni shilingi elfu nane na vimepimwa pia...
Nahitaji pikipiki used iwe ktk hali nzuri, pia iwe na documents zote, ingependeza ikawa sanlg, fekon au boxer. Dau langu ni shs laki saba. Contact 0714-408238.
Wadau wa JF, mimi nina mashine ya kutotolesha vifaranga. Tatizo ni jinsi ya kupata mayai. Naomba mnisaidie wapi nipate mayai yaliyolelewa kwa ajili ya kutotoleshwa. Niko Mbeya , ILEJE.
Natafuta fundi wa Pikipiki aina ya Honda Sabre VF 750. Tangu nimeileta toka Japan sikuwahi kuitumia. Kama kuna mtu yeyote aliye na pikipiki ya aina hii naomba tuwasiliane ili niulizie fundi wakeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.