Wadau kama tangazo linavyojieleza kila moja shilingi Tsh 15000/= na zingine itagemea na umaarufu wa mtu..lakini haizidi 70000/= napatikana Kariakoo shimoni na hapo ulipo..
A well maintained CR-V for sale at 14,000,000mil ( negotiable price).
Its in dar es salaam and readily available once transaction is complete.
Kindly contact 0718-551122 for more information or...
Hello, nauza simu tajwa hapo Tzs 170,000,ni original na haina tatizo ila ninataka kubadili aina ya simu kwa sasa. Haina michubuko ila kidogo ktk maandishi ya neno blackberry. Asanteni
Sent from...
Habari,
Kwa wale wanaohitaji unga wa ugali wa dona wawasiliane na mimi. Unga huu umetengenezwa kutokana na mahindi na ngano bila kukoboa ili kubakisha virutubisho vyake mhimu kwa afya...
Habari wanandugu wa JamiiForums.
Je umeletewa zawadi simu ya iphone kwa bahati mbaya haikubali kutumika na mitandao ya hapa Tanzania? Au umenunua mwenyewe lakini hukujua kama haitatumika na...
habari wa JF nina ps 2 nauza ipo kwenye hali nzuri. inatumia flash kucheza games pia ntakupatia chaji, video wire na padi 1. Kama unaitaji nicheki kwenye 0716-369299. bei ni 160,000/=
Nyumba ya vyumba vitano vya kulala
Ipo eneo la Manzese Tip Top inauzwa.
Nyumba ina hati. Bei inaanzia 85m. Maelewano yapo
Kwa mawasiliano piga 0719173017
Specifications:
HHD = 120GB
RAM= 2GB
PROCESSOR= Duo core
DVD-RW
It is a used pc but still in a very good condtion.
Price: Tshs 300,000/=
Contacts: Just send your sms to 0769142586
Who come...
Wadau, Habari za Ujenzi wa taifa!
Kuna Laptop Inauzwa, Imenunuliwa takribani miezi 4 iliyopita ikiwa MPYAAAA! Hizi ni baadhi ya sifa zake
Hard Disk: 500GB
Memory:(RAM) 2GB
Processor: Intel(R)...
Vyumba vya kupanga(chumba na sebule) vinapatikana maeneo ya ubungo darajani, ni self-contained. Bei ni 100,000/= kwa mwezi, kulipia ni miezi 6, kwa anayehitaji aniitumie private message(PM) kwa...
Ninataka modem ya zantel iwe na memory space ndani kwa anayeuza bei chee nije niichukue popote Dar au tubadilishane na Modem ya vodacom ,picha hizo hapo chini 0716282670
ina vyumba vinne vyote self ina eneo kubwa ndani hata gari kumi zinaweza kupark,ipo kwenye fensi na ipo njiani.
ipo nyakato national nyia ya kwenda Loreto sec.
ni pm kama unahitaji.bei sh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.