Natafuta nyumba hususani room moja ya kuishi hapa mbeya,bajeti yangu ni 30000 mpaka 50,000 kulipa ni miezi mitatu au sita ila room self itapewa kipaumbele maeneo,soweto au kabwe block T.ni PM
ta software mahiri itakayokusaidia katika kutengeneza BUSINESS PLAN nzuri inayoeleweka na inayopendeza na yakuvutia software hii ina feature mbalimbali nzuri pia ina financial tools zote...
Kwa wanajf wote mliookoka(naamini wahusika mnanielewa kwa lugha hii) Kitabu "Mafanikio yako yanategemea jinsi unavyofanya maombi" kinapatikana kwa bei nafuu kabisa.Kimefafanua mambo mbalimbali...
Ninauza RICE COOKER ni mpya kabisa na unaweza kupikia wali kuanzia robo kilo hadi kilo 6 inapika yenyewe huku ukiwa unaendelea na kazi nyingine ikiivisha inajizima na wali unakua mtamu zaidi ya...
Kiwanja kipo eneo la bugogwa,jirani na barabara ya wilaya ya ilemela inayowekwa lami kutoka makao makuu ya wilaya kuelekea igombe inayotengenezwa.
Hakijapimwa bado,
Lina ukubwa wa 70 kwa 50
bei...
Wadau kama heading inavyojieleza nahitaji kukodi Camera mojawapo ya hizo kwa siku 4 au 5, najua security ya Camera ni muhimu hivyo niko tayari kumtumia Cameraman wako cha msingi awe na uzoefu...
Ni Solar system nyepesi na yenye ubora tofauti na unazo zifahamu, ina kaa na chaji kwa masaa 8 baada ya kujaa na unao uwezo wakuichaji na umeme wa kawaida kama ukipenda.
Tunakupa warantii ya mwaka...
habari! Ninauza Mtungi wa gesi kg 30.5 no#9 nipo Magomeni na ninaweweza kukuletea ulipo bei maelewano unafaa kwa matumizi ya nyumbani, Gheto na hotelini mawasiliano 0658825141 0767279713 badilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.