Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari ndugu zangu!! nahitaj kununua DSTV haraka sana na mtu au maelekezo ya kufunga!! inatakiwa kwenda kutumika Dodoma
0 Reactions
5 Replies
3K Views
mwenye kiwanja maeneo hayo anchek staki dalali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
samsung galaxy nexus inauzwa kwa 450,000 ina internal ya 16gb ram ya 1gb nicheki kwa 0717 022737 unapata na accesories zote.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nahitaji ipad 4 ya haraka ambayo inaingiza line!!!iwe na 64gb....iwe ktk hali nzuri ncheki kwa 0712720080... Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unahtaji Mwl mzuri wa ENGLISH COURSE na Tuition kwako kwa mfanyakazi wako ndugu na kwa watoto wako nyumbani au kazini kwako inawezekana kabisa kama unaish Dar/karibu na Dar na kwa bei rahisi...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Nauza lain hizo nilizinunua muda huu sizihitaji tena ndo maana naziuza nipo dar na zote za dar,anayezihitaji anitafute kwa namba 0689626886
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza sandals za ngozi za kiume tsh 80000,sandals nzuri sana Kwa atakayependa 0719 717555 karibuni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau ninauza mgodi wa Tanzanite. Uko Mererani, wilaya ya Simanjiro Arusha. Kitalu D. Anayehitaji bei ni maelewano. Kama uko serious ni pm. Leseni na kila kitu kipo.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Toyota carina ya mwaka 2000 imetembea km 80,000 engine capacity 1490cc imesajiliwa kwa namba ccj inauzwa kwa bei ya milioni 7.3 bei can be negotiate...tuwasiliane kwa 0717 022737
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nauza volkwasegen polo ina namba BNA bei inaanzia 4.5m (maelewano yapo) Condition: Good current problems: 1. break pad za tairi za mbele zimeisha 2. plug zimechoka 3. switch ya vioo vya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Simu hiyo inapatikana. PM tumalize biashara bado mpya sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marketing Executive is urgently needed in Dar es Salaam. Skills required: Drive and determination, Creative to marketing trainings, good negotiating and interpersonal skills, a high standard of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nichek kwa # 0655674747, nipo dsm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Ninauza Laptop yenye specification zifuatazo: Aina:DELL LATITUDE E6400 RAM:2GB SYSTEM TYPE:32-bit Operating System PROCESSOR: INTEL(R)CORE(TM)2 DUO-2.40GHz WEBCAM:YES WIFI:YES...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta partners wenye viwanja vilivyosajiriwa ambavyo ni suitable kwa real estates projects kuanzia appartments mpaka commercial buildings wanaosubiri wawekezaji mbali mbali....hasa kwenye miji...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Nauza ipad 3 3G + WiFi 16GB, iko bomba na ina charger yake. Nimeinunua Jan 2013. Serious buyer please inbox... Bei Tshs 950,000/= Negotiable
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nauza brand new digital camera ina 16 mp,3" screen size ,5x digital zoom ,rangi ni nyeusi.mwenye kuhitaji call me on 0713404014. Bei 290,000
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Nina Brand new Arnova Archos 3g ,4GB memory card,7inch display.Inatumia wireless,modem na sim card.ziko imported from Uk ,rangi ni nyeusi na iko boxed with all accesories.Bei 380000= mwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shamba liko bagamoyo eneo la makurunge, 16km kutoka bagamoyo mjini. Lipo mita 100 kutoka barabara ya lami(bagamoyo to msata) jirani pana visima vya maji havikauki,msimu wote wa mwaka bei ni...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Hata kama leo kuna uwezekano wa kuipata hii LINE ya TIGO-PESA nipo tayari. Naomba tuonane kwenye PRIVATE MESSAGE.
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Back
Top Bottom