Kiwanja kinauzwa ni hekari moja kipo njia panda ya Moshi-Arusha, karibu na mji mdogo wa Himo. Kinapakana na barabara kuu ya Dar - moshi. Kiwanja kimepimwa, kinafaa kuweka petrol station, kujenga...
Nahitaji line ya TIGO-PESA. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye line ya TIGO-PESA naomba awasiliane na mimi kupitia PM (PRIVATE MESSAGE), na kama itapatikana nahitaji kufahamu bei yake.
Hii ni laki 2 na 50 tu bei haipungui, ni nzima na haijawai kufunguliwa kabisa na fundi.
Nimeshindwa kuweka picture. Ila ncheki WhatsApp ntakutumia kama unahitaji.
Iphone 4s
Mbili Black
Mbili White
Zote 16 GB
Zimetumika miezi michache
Hazina scratches
BEI: 520,000 each
Galaxy S3
Black 16 GB
Imetumika miezi michache
BEI: 585,000
Contact...
Wadau heshima mbele!naomba mwenye uzoefu wa magari tajwa hapo juu...Isuzu Birghoni Vs Rav(Old Model-1995-98) 4;Ipi kati ya hizo zinaweza kupiga mzigo kwa muda mrefu na ina gharama za chini za...
Habar zenu marafiki.
Habar nzuri kwa wenzetu waliofanya mitihani mwaka 2013 ikiwa ni trial,huku wakipewa pongezi kwa wingi wakiwemo walimu na wazee,wanafunzi hao walifaulu vizuri trial yao...
Je ungepenga kupunguza unene na kuwa na shep nzuri inayokubali nguo zote hili ni jibu lako Clean 9 ndio kiboko ya unene wa kila aina jamani call 0754/0715 297298 kwa ajili ya order.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.