Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
-Nauza kwa bei tajwa, -imeundwa March 2012(kwa hiyo ni product ya kisasa) -niliununua Nov 2012(Imetumika hardly 10 months) -Storage ;320 GB -processor; 1.60 -ram; 1 gb -system type; 32 bit...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nauza bb curve 9300 nimekwama ipo vizuri tatizo ni mikwaruzo kidogo kwenye kioo,bei 180000 tu!kwa mawasiliano no.0766 786 620 Nimeshindwa kuchukua picha maana ndiyo naitumia kwa tangazo ila...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Habari wadau wa JF nahitaji kununua kiwanja kiwe na ukubwa wa kuanzia 25 x 25 hadi 40 x 40 maeneo ni kimara,mbezi hadi kibamba pia kikiwa maeneo ya goba au salasala kitafaa.mwenye taarifa kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Habari wakuu, linakugharimu 70,000.00 ku convert mtungi wako wa aina yoyote ile wa gas kuwa Jiko au Oven na unaweza kutumia kupikia, kuchomea nyama, kuoka na pia linadumu kwa muda mrefu na...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
ziko Kinyerezi umbali wa km mbili toka airport zina ukubwa wa 20mx20m bei milioni 10 tambarare na milioni tano penye mterereko, wahi zipo 50 tu ukipendelea ni pm. Za bagamoyo ziko kaole mita 200...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naiuza coz nimepata mafao ya ustaafu so nahitaji yenye quality zaidi,,me nipo Moro mjini bei ni 130 tu ukiwa interested nichek 0712667669,,,,cpunguz zaid ya hapi
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Nauza hiyo simu , ipo kwenye Hali nzuri... Bei ni tsh 500000...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
HABARI ZENU???? Nina skechers buti mpya kabisa naiuza 60000, NAMBA 8,ngozi tupu.Kwa atakae hitaji ani pm tufanye biashara.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Plot kwa ajili ya biashara inahitajika kwa ajili ya biashara. Iwe njiani Maeneo ni kutoka mjini kupita njia ya Moshono hadi maeneo ya chuo cha Mandela. Au maeneo ya kuanzia Sanawari kuelekea Moshi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mpya unaifungua mwenyewe bei 395,000/ tu aliye serious ani PM au 0767698281
1 Reactions
1 Replies
715 Views
Wakuu, Gari nzuri na yenye nguvu: Reg #: T 317 BZQ Fuel: Petrol Transmission: Manual, 5 gear Color: white Odometer: 69,000 km Location: Dar es Salaam Call 0789-429923 now!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ina bedroom 2, moja ni selfcontained Sitting room iliyoungana na dining public toilet na bathroom Ipo Arusha maeneo ya kwa mrefu, kama mita 300 kutoka barabara kuu ya Moshi-Arusha. Na ukiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bajeti ni laki 3 na 70 iwe ya kisasa na haina michubuko,katika hali nzuri ya utendaji. chaji angalau masaa 3. mpya au used hiyo juu yako bora mashine inapiga mzigo na muonekano wa kuvutia...
0 Reactions
9 Replies
925 Views
We are Professional in converting of pps to recommended size 4kb as per NECTA requirements.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msouth poltr farm ni shamba ambalo lipo kijiji cha hanga rufiji,ukitoka dar unatumia barabara ya kilwa road kuna umbali wa km 160 mpaka shamba .kwa mawasiliano zaidi piga namba 0782138541,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza mafuta ya alizeti jumla na reja reja cont 0756-654524 usafiri upo kulingana za ukubwa wa mzigo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba mnifahamishe kwa anaejua sehemu kunakouzwa majora ya mashuka kwa Dsm.......msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kuwajulisha. Wale wote ambao wanataka kupata huduma kufanyiwa wiring katika nyumba zao kwenye viwanda n.k,nikiwa kama mkandarasi mwenye leseni namba 231 daraja C nina uzoefu katika kazi...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Wakuu nauza Mitsubishi Canter ipo katika hali nzuri na inatembea. Imetengenezwa mwaka 1996 Tani 3 Injini CC 2960 Mafuta Diesel Body type ni Box body Aina ya injini 4D33 Bei Tsh. 16m...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom