Natafuta gari YA KUNUNUA lori hasa za zamani kama nilivyotaja hapo juu, iwe inatembea na pia hata kama imesimama lakini iwe nzima na vitu vyake vyote iwe inatengenezeka kwa gharama ndogo, isiwe...
SABUNI NZURI KWA VITENGE NA NGUO ZINAZOCHUJA AU KUPAUKA:
HAICHUBUI WALA KUPAUSHA NGOZI YA MIKONO YAKO
Natucare ni sabuni nzuri sana kwa ajili ya kufulia vitenge au nguo ambazo zina kawaida ya...
Hi,nauza simu used na simu hizi hazijachakaa kabisa yani ni kama vile mpya,pia nachukua order ya simu uipendayo then nitakuletea,nazitoa marekan jimbo la san diego calfonia kwa yoyote anayependa...
habari zenu wakuu,Nahitaji Samsung galaxy 2 tab(P5100),ambayo ina support GSM voice communication, SMS, and MMS..
mfuko wangu unasoma Tsh.500000..
mwenye acces nayo aniPM au anipgie kwa namba..
habari wakuu,nimefanikiwa kufungua catering yangu,natengeneza cup cakes,crips aina tofauti kama za mihogo,ndizi na viazi kwa size tofauti kulingana na order.pia karanga za mayai zinapatikana.bei...
Wakuu natumaini mu wazima,
Natafuta mashine za kutengeneza vifuko vya plastik vile vinavyofungia ubuyu, barafu, ice cream home made etc kwa anaejua zinapatikana wapi dar na bei anisaidie tafadhali
habari wakuu, Nina Galaxy s1, nataka badilishana na simu nyingine ya juu zaidi. Kiwango cha mimi kuongeza tuta netotiate kwa undani zaidi. nashukuru. 0759950757
Natafuta gari YA KUNUNUA lori hasa za zamani kama nilivyotaja hapo juu, iwe inatembea na pia hata kama imesimama lakini iwe nzima na vitu vyake vyote iwe inatengenezeka kwa gharama ndogo, isiwe na...
Accer e-machine, E-525 for sale.,
Specs:
* Processor 2.2 GHz
* Ram 2GB
* DVD WR
* web camera
* 15 inches display
* 250 GB Hard disk drive.
* In mint condition.
* OS : runs Windows 7, XP and...
Heshima kwenu brothers and sisters..
Nyumba ya uani inapangishwa ubungo external nyuma ya ukuta wa export processing zone..
1.Ina umeme na maji ( ya dawasco)
2. Ina vyumba viwili vya...
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo)
Vinauzwa kwa Bei Utakayomudu
KILA SQ METER MOJA NI SH ELFU SABA.
Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.