natafuta simu ya touch screen ya bei ya chini. isiwe na tatizo, iwe na intarnet, watsup, 2go na makorokoro yote. bei ianzie 50,000 mpaka 80,000. kama unayo 2pia status yako hapa chini nikipendezwa...
nyumba inauzwa maeneo ya tabata barakuda ina sifa zifuatazo ina vyumba vitatu,..master bedroom ikiwa imewekwa air condition chumbani ina vioo vya aluminium ina jiko ndani, store, public toilet kwa...
TOYOTA Cresta GX100.
Km 150,000. 1988 CC. 1999Year.
Location: ZANZIBAR
Inaenda. 4.9m Fixed
Call: # Rashid Abbas 0715394100. Only serious buyer. fp rancotrading
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo)
Vinauzwa kwa Bei ya Shilingi Milioni Nane(8)
Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari
Kwa Mawasiliano...
Toyata nadia inauzwa , bei makubaliano , automatic, mialage 41,200km,full ac , excellent condition, pia toyota land cruise vx , Tel 0713-95-92-90 , 0687-57-34-34
Wadau gharama ya kununua kiwanja ambacho hakijapimwa ni kubwa mno ikiwemo kubomolewa nyumba na kuambiwa
matumizi ya hapo ulipojenga siyo makazi na hapawezi kupimwa.
Hivyo basi tumeamua kuwaletea...
Habari za leo wanajamvi?
Naomba msaada wa kupata Msichana wa Kazi wa Uhakika.
Mshahara ni maelewano, ila inaweza hata kufikia Tshs. 50,000, inategemea na uzoefu na ufanyaji wa kazi.
Kituo cha...
Je unatafuta watu wa kukuandalia katika shughuli yako?..Unatafuta chakula kitamu lakini hujui wapi pa kuanzia? ...Kwa mahitaji ya huduma ya vyakula,vinywaji katika shughuli mabalimbali kama...
Wakuu haya yote yana umiliki wangu. Hakuna dalali. Nimekamatika nahitaji kujikwamua. Jichagulie ni ipi unataka then ni PM. Ukitaka yote au mawili nakupa bei ya fungu.
Wakuu nimezoea kuona haya madilisha ya aluminium ya rangi mbili nyeusi na nyeupe na hata kama utaona rangi tofauti kwa watengenezaji hazipo kama kuna mtu anafanya hii kazi na yupo mwanza...
:clock:
Wapendwa wafanyabiashara wenzangu, ninaomba mtu awayeyote yule atakayekuwa ana laini ya TIGOPESA na anataka kuiuza kwa mtu au amesikia mtu anauza laini hiyo aniuzie mimi
Namba zangu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.