Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
wakuu salaam sana . mimi ni mfanyabiashara hapa mwanza ila hizi biashara za duka sio dili tena kwani serekali yetu sikivu imeitolea macho na huwezi pata faida. Tra mashine ni 800,000 jiji...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Mwenye cm moja wapo hapo juu tafadhali wasiliana na mm *0712868178
1 Reactions
1 Replies
849 Views
Dell inspirion ram3gb.harddisk 250 processer 2.1ghz inter core 2 duo..price 450000 contact 0716292947
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau shamba linauzwa wanaotaka kununua shamba hilo ni ekari 50 zote zina hati 1 lipo kigamboni sehemu inaitwa mwasonga kwa million 950 bei itapungua kwa ataehitaji Kwa mawasiliano ni PM namba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
DELL INSPIRON N5050 inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa (used for 1 month). SPECIFICATION: RAM 2GB, HDD 500GB, PROCESSOR 1.6GHZ, WEB CAM NA WIRELESS FEATURES. Bei ni Tsh 420,000 (Haina...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
ndugu wanajamii,naweza kupata kagari kadogodogo kama starlet glanza,duet na nyingine dzain iyo kwa million 4 ?? au yoyote nzuri,mafuta kuanzia km14/RTL kwenda juu, na iwe ktk condition nzuri body...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Morning to all friends. Back in city of jam from Arusha Na sasa napenda kuchukua fursa hii tena kuwaalika kwenye Business Meeting itakayofanyika JB Belmont pale PSPF 4th floor alhamis ya...
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Nina samsung galaxy s3 mini......ninataka kubadilishana na mtu mwenye Tecno Phantom A (F7) au htc yoyote nzuri. #simu nimeitumia ina mda wa siku 4....badoo Mpyaa.......!!!! *kama unapenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salama... ninazo daladala 2 nauza au kubadili na aina nyingine kama pick up, au hata saloon car yenye hali ya upya kwa ajili ya tax, hizo gari ziko kwenye hali nzuri na zote ziko kazini na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo) Vinauzwa kwa Bei Utakayomudu KILA SQ METER MOJA NI SH ELFU SABA. Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari Kwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa size 15 kwa 25.kipo maeneo ya block b tanesco njiro.kina hati.kwa mawasiliano 0753118592
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi, natafuta Frem ya biashara maeneo yafuatayo. - Sinza - Mwenge - Kijitonyama - Kariakoo Sifa zinazotakiwa, iwe inatazama barabara kuu za mtaa au kwenye mkusanyiko wa watu wa kutosha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Pikipiki aina ya Fekon 150 inauzwa kwa Milioni 1.4. Iko katika hali nzuri sana na ina miezi 8 tangu inunuliwe na ina Bima. Mwenye kuihitaji ani PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza Toshiba laptop inch 15, silver color, 2gb ram, 120 hdd, inakaa na chaji lisaa limoja. conatcts 0715353108 0756144060 mwamamalekela@gmail.com reason for sale = nimenunua nyingine so i am...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Tafadhali mwenye incubator ya kuangua mayai chini ya 100. tuwasiliane 0784826336 inapendeza akiwa arusha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni startrack galaxy mpeg4 Hd, bei n 140000. Imetmika miez 2. Anaehtaj tuwasiliane kwa namba 0658905683. Au pm. Karib
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Habari wa ndugu!! kama kuna mtu anahitaji nguo, viatu au kitu chochote kutoka india naomba anichek!! mm nina mtu kule nitamwagiza nitakuletea mzigo wako mpaka ulipo kwa garama tutazokubaliana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau Nina emergency ninahitaji mkopo wa 6million, nitarudisha baada ya miezi 2 plus interest, nina gari kwa ajili ya collateral Mwenye nia na uwezo wa kusaidia tuwasiliane kwa 0789737699
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Nahitaji external hdd gb500 bajeti yanngu 80000. Aliyenayo anipm.
0 Reactions
0 Replies
727 Views
helow waungwana natafuta radio bomba la kula Mziki hom, iwe angalau na vikorombwezo vya kutosha yan cd, USB, tap etc... Pia iwe na spika kubwa zenye ujazo wa mziki wa adabu....mwenye NAYO anipe pm...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom