Nauza ipsum new model
Cc 2360, 4cylinder in a very good condition
Namba zake T883 CMF imesajiliwa july 2013
Mileage 144000
Year 2001
Bei milioni12,800,000cash..mm sio dalali ni mmiliki so hamna...
Kama wewe ni [Mbongo] Mtanzania na unapenda kilicho chako cha nyumbani kwako tafadhali bofya anuani zifuatzo ili tuweze kikuza na kuendeleza kilicho chetu...
Mimi mwezenu sina kazi sina elimu ila natafu kazi maisha ninayo ishi nimabaya sana kwahiyo mwenye uwezo wakutoa musaada wa kupata kazi yoyote ile mi nitafanya sitochagua maana yamenifika unaweza...
Habari zenu wadau, Nilikua nauliza kama kuna mtu ana ujuzi na upatikanaji wa mashine za kubolea na kusaga pamoja na bei yake..plz kama unafahamu lolote kuhusu hili naomba majibu..
Laptop DELL INSPIRON N5050 inauzwa ipo katika
hali nzuri kabisa (used for 1 month).
SPECIFICATION: RAM 2GB, HDD 500GB,
PROCESSOR 1.6GHZ, WEB CAM NA WIRELESS
FEATURES.
Bei ni Tsh 450,000 (Haina...
Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni shilingi laki tatu 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba...
ni kiwanja kizuri sana kipo maeneo mazuri NA ni tambarare NA KINAUZWA nyumba za kupanga NA baadhi ya majengo ya biashara.
kipo tangibov bovu jk nyerere karibu NA kanisa la Lutheran.
kina hati ya...
Wakuu mambo vp mishe zinaendaje ? kuna mpango wa siku hizi umeingia kuwa washkaji wanadeal na kuwatafutia watu kazi halafu mwisho wa mwezi ukidaka unampa commission yake kwa pesa mliyokubaliana...
Wakuu mwenye uelewa na matumizi ya simu aina ya samsung gallaxy s -|897 upande wa ringtone. Maana kila nikijaribu kuingiza niipendayo mm inanambia maximum size ya nyimbo ni 300kb. Mwenye uelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.