Natafuta chumba maeneo ya Makumbusho, Kijitonyama ,Mwenge au sehemu yoyote along Al Hassani Mwinyi Road.
Bajet yangu ni 100000 maximum kwa chumba na 250000 kwa nyumba.
Please contact me on 0713968649
Mambo wana JK,
ninauza flat shoes za kike Kwa bei ya sh 25000, na pia nguo nzuri classic za kike bei kuanzia 17000 hadi 35000..karibuni sana Kwa atakae penda kuona napatikana Kwa no 0719 717555...
from heading wadau naomba kusaidiwa wap ntapata kin'gamuz ambacho kinaonyesha al jazeera sports na gharama zake zinakwendaje including gharama ya dish, receiver, and malipo yake kwa mwaka or mwez...
haya wapendwa napenda kushare nanyi mambo mazuri ya kuwapendezesha na kwa bei nafuu sana.
handbags bei ni 50,000 na pochi ndogo ni 30,000. kwa anayetaka aniibox tufanye biashara, nauza rejareja...
Kwa wanaotaka mashine, zipo bei ni 800,000/= (bei standard ya TRA ambayo utakuja kurudishiwa) pia wateja wetu wanaweza pata mkopo toka equity bank wa kununulia mashine, harakisha kabla foleni...
Arusha JAPAN'S leading automobiles manufacturer, Toyota is dropping the long reigned partnership with the Moshi-based agent, Rajinder Motors Limited, in what seems like a mission to...
Natengeneza professional websites, static and dynamic. nafanya domain name registration na web hosting. gharama zangu ni nafuu sana.
baadhi tu ya kadhi nilizofanya.
MAWALLA ADVENTURE SAFARIS...
Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni Tsh 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba ani PM
HABARI ZA JUMA TATU WANA JF WOTE,
KWA YEYOTE MWENYE KUHITAJI USED TRACTOR KUTOKA HOLAND(NETHALAND) KULINGANA NA SPECIFICATION'S HAPO CHINI, ZIPO TRACTOR TATU(3) NA TAYARI ZIMESHAINGIA NCHINI,ZIPO...
Habari wana JF,nauza jiko la gesi pleti mbili na mtungi mkubwa wa oryx,bei 180,000.zuku decorder na dish lake nayo bado ipo bei 100,000,bithaa zote ni nzima hazina kasoro.serios buyers ni PM...
Ninauza simu aina hiyo kwa kiasi hicho cha fedha,ni simu yangu ninayo itumia kwa sasa na haina tatizo,nimeonelea nibadilishe nirudi nokia.ina screen protection na cover ya kawaida ya...
Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni shilingi laki tatu 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba...
Wakuu,
Nataka mifuko 200 ya cement. Site yangu ipo Kigamboni eneo la kibada kwenye viwanja vya serikali mita 800 kutoka full shangwe. Nataka cement ya Twiga. Kwa kuwa ni cement nyingi budget...
wadau New Nokia N70 3G inauzwa haina tatizo lolote ina camera mbili mbele na nyuma..ina programs kama Nimbuzz,Opera,Fullscreen caller e.t.c..for more specification igoogle "Nokia N70"
Bei yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.