PS2 Inauzwa...Padi Mbili,Na Game Moja 200,000Tsh....Bei TUnaongea..Codition yake ni nzuri sana
Ina game ya pro evolution soccer
Na memory card yake.....
+255 756 412 337
Wakuu Nahitaji ramani ya nyumba au mwenye Architecture mzuri anaechora ramani nzuri mzoefu wa kazi hii, anisaidiem,au pia anisaidie Website yenye mambo ya nyumba na muonekano wake...
Kiwanja cha metre 50 kwa 50 kinauzwa Goba, kwa maongezi zaidi piga no 0753 097863. Pia nyumba inauzwa tabata chama(segerea) kwa maongezi zaidi piga no 0713 334711. Kuona picha ya kiwanja na nyumba...
nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya twangoma hadi kongoe, iwe ina vyumba vya kulala2 au 3,umeme na maji(ila maji c lazma sana)ila kuwe na uwezekano wa kupata maji eneo hilo,ukuta ikibidi.kwa...
Solar ya kuchemsha maji inauzwa jijini Arusha,iko kwenye hali nzuri sana.ukihitaji maelezo zaidi piga tourismtanzania@yahoo.com Bei ni karibu na bure.!
Asali kutoka singida inauzwa kwa dumu la rita 20 kwa bei ya 170,000 kwadumu larita 20 haija changanywa nakitu chochote ni original ya nyuki wakubwa madumu yapo 8 karibuni simu 0712690760 ninayo...
Nauza Shamba Lenye ukubwa wa hekari 20 kwa shilingi Milioni Mbili Na Laki Mbili tu (2,200,000/=).
Shamba Lipo KINONKO. Limeshasafishwa mara moja, kwahiyo sio msitu lakini Halijawahi kulimwa (kwa...
Nyumba inapangishwa ipo Majohe Kilometa moja na Nusu kutoka Kampala International University (KIU) Gongo la Mboto. Ina vyumba vinne vya kulala (kimoja ni master), library, store, Sitting roo...
Iwe eneo la Bunju, Boko au mbweni. Iwe imejengwa katika kiwanja chenye hati miliki. Iwe walau ina vyumba vya kulala viwili au vitatu. Hata kama haijakamilika. Ukiwa nayo tuwasiliane kupitia namba...
Wakuu ninauza Kiwanja chenye ukubwa wa heka moja kwa sh. mil 3.8 tu. Kiko Kongowe mwisho Mbagala Km 3 kutoka Barabara ya lami na gari linafika mpaka kwenye kiwanja. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
Habari wakubwa, nauza
1.
Item: Macbook Air (Unopened)
Display: 13.3-inch (diagonal) LED-backlit glossy widescreen display with support for millions of colors
Storage: 256GB flash...
I am a graphic designer and am holding a company dealing with graphic design and for us we don't take graphic design as a work of design only but also we have found branding is a mother of graphic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.