Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Tunatoa uduma ya clearing and forwarding kwa wakazi wa tanzania nzima.makao makuu yetu yapo dar es salaam mjini mtaa wa nkrumah..tuna bei nzuri na uzoefu wa hii biashara takribani miaka 15...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Tuna deal na uuzaji wa magari aina zote toka u.k..offisi zetu zipo dar es salaam,nkrumah street.na london,uk.. Unatoa oda ya gari uipendayo,then unatoa deposit tukuletea gari.gharama za...
0 Reactions
0 Replies
37K Views
Habari jf. Nahitaji kiwanja maeneo ya madale D'salaam. Bajeti yangu ni milioni 4.5. Mwenye kuwa nacho aseme kina ukubwa gani pia aweke mawasiliano yake. Sihitaji maeneo ya mabondeni na sihitaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Magari haya yafuatayo yanauzwa: 1) TOYOTA Nadia Year of manufacture: 2000 Year imported from Japan: October, 2009 Engine: 1990 L Seating capacity: 5 passengers Colour: White Mileage covered...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Iwe used na bei isiwe kubwa sana.
0 Reactions
0 Replies
763 Views
toyota surf 2l diesel engine type manual gear 4wd dar to chalinze lt 7 dar to arusha lt 45 vibali vyote inavyo haidaiwi inauzwa millioni 6 kwa mawasiliano piga namba 0714198500 0712419419​
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji fundi wa kunifanyia wiring kwenye kanyumba kangu kapo salasala, kama wewe ni fundi wa umeme au kama unafahamu fundi mzuri wa umeme tafadhili niambie au niPM contanct zako/zake
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta tv monitor 22 /23 inches brands yoyote
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Mazda Rx8 2005 6 speed manual 230 BHP full leather red/black
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba viwili na mbele kuna fremu tatu za biashara zilizopo karibu na barabara, ni pazuri pa biashara. Ipo Kivule Dar es salaam nyuma ya jengo la aviation kwa mbele kilomita kadhaa tu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SECRETARY GENERAL (VOLUNTEER POST) Location: Dar-es-salaam Brief description The position of executive secretary consists of providing high-level administrative support by conducting...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi,Kuna jamaa yangu ana chaser gx100 vvti 2001 model silver anataka kubadilishana na verossa na yupo teyari kuongeza top up ya mpaka 5m to 5.5m kutegemeana na condition ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Lumia 610 ipo katika hali nzri, bei ni laki na stini tu (160,000). kama upo intrested pm me
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Toyota ist imetembea km 40,000 rangi yellow mwaka 2005....bei million 10.5 nicheki 0717 022737
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa wale wanaohitaji huduma hiyo unaweza ni pm na service pia tuna provide
0 Reactions
0 Replies
724 Views
nyumba ipo dar kivule karibu na shule ya kivule ina nyumba viwili na ina vyumba vitatu vya biashara yaani frem zilizopo bararani ina uwnja wa kutosha kujenga tena bei ni mill 15(maelewano) eneo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau,kuna mtu anamfahamu fundi yoyote mzuri wa kuweza kutengeneza Bajaj aina ya TVS mana nna Bajaj ambayo nlinunua kwa mtu na kila siku ni majanga,mana mara leo Brek,kesho plug na kesho kutwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ishauzwa tayari thanks kwa mlioneha nia.
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Wadau,nataka kununua hii gari,toyota ipsum ya kuanzia maisha,ila kabla ya mchakato naomba kwa anayeifahamu vizuri,ulaji wake wa mafuta,spare parts upatikanaji wake,kwa ujumla, uzuri na ubaya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wakaaazi wa dar...!!tunaprint jazz kwa bei poaaaaa saaana tupo temeke tandika....!!!700 per lettr kwa mawasiliano hapa 0716 162696
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom