:help: Naitaji Suzuki Swift na mwenzangu mmoja anaitaji Vits, zilizokwenye hali nzuri na info za service zilizofanyika itakuwa addition point. Bei ya kiujamaa nina budget ninayojua inatosha kabisa...
Habari wa JF,
Natafuta kiwanja kisichopungua ukubwa wa sqm 600 kati ya maeneo yafuatayo:
1.Salasala
2.Mbweni
3.Bunju
Kiwe kimepimwa na serikali na hakina mgogoro wowote.
Budget: 15M
Je kuna...
habari zenu wana jf wenzangu. Naitwa mgowela naishi morogoro. Nilimaliza advance diploma in accountancy pale t.i.a 2010. Nilikuwa na ajira ya muda kwa sasa kampuni imebadili shughuli hivyo...
Naandika post hii kutoa fursa kwa Mtu binafsi yeyote ambaye anapenda kuwa mshirika wetu katika biashara (business partner) katika kampuni yetu. Tunahitaji angalau mtu mmoja kila mkoa isipokuwa...
nataka kuchukua bidhaa za FOREVER na supply lakini nimepata darasa juu juu tu aliye na taarifa kamili naomba anijuze zaidi, namna ya kuwa mwanachama, kupata bidhaa namna ya kusambaza na masharti...
HABARINI WANA JF
Playstation 2 consoles zilizotengenezwa kutumia flash disk zinapatikana, baada ya kuwa zimewekewa chip kwenye system yake na kuweza ku boot games za iso bila kutumia CD za...
kama wewe ni mpenzi wa CHELSEA,MAN UTD AU ARSENAL nina DVD za SEASON REVIEW 2012/2013
DVD HIZI ZIMESHEHENI MAMBO YAFUATAYO
1. HIGHLIGHTS ZA GAME ZOTE ZA TEAM HUSIKA MSIMU MZIMA 2012/2013
2...
Nimenunua kiwanja hapa mbezi Goba, jamaa aliyeniuzia anauza pia viwanja viwili , kimoja ni 40 kwa 40 sh milioni 5, na kingine 30 kwa 35 millioni. 3. Kama kuna mtu anahitaji. Hakuna dalali hapo...
Imetembea kms 112000, ya mwaka 2000, nimeichukua showroom dsm last year february, ipo katika hali nzuri. matairi mapya, full ac, redio inafanya kazi vizuri. Namba ya usajili ni T...BZ.. Bei ni 6m.
ipo eneo zuri yombo vituka,gari inafikika,umeme upo karibu,maji yapo,ipo karibu na barabara ya mtaa,anayehitaji anipm au aweke namba yake nitampigia akishindwa anicheki kwa...
Are you in need of a Software that will provide you with the following?
1.Daily Sales
2.Current Stock
3.Daily Expenses
4.Cash flow
5.Profit and Loss
6.Trial Balance
7.Balance Sheet
8.Debtors...
FLASHLIGHT TRAINING COLLEGE INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA COMPUTER NA SECRETARIAL.CHUO KIPO KONDOA MJINI. Mawasiliano: 0688434525, 0755358180. Wote mnakaribishwa.
habari wana jf,nimeipenda sana hii simu na ningependa niwe nayo...ila nahofia kununua kitu fake
naomba yeyote anayefahamu maduka ambayo naweza kupata simu original
nipo Dar,natanguliza shukuran
ina:fb,twiteer,whtsup etc tenainakuonyesha kama online or not!inasoma pdf ukubwa wowte namafaili mengine yawords katika formats tofauti,namaujanja mengine kibao!specifications nyingine soma kwenye...
Nawasalimuni wapendwa wote kwa Jina la MUNGU Mkuu Muumba wa Mbingu na Nchi,
Nawaletea habari kuhusu Maombi mazito na mfungo mkali wa siku 40 kwaajili ya Toba kwa Taifa letu,[Operation Repent]...
Wadau.
we are a group of self employed lawyers.
Tunafanya a wide range of activities,including,but not limited to,consultancy kwenye masuala ya sheria, tafiti, translation services etc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.