GET YOUR KEY AND DRIVE cheAPEST PRICE
SALE!!!SALE!!!SALE!!!
Make:Toyota
Type:Rav4 J(New Model)
Year:2000
Distance:67000 km
Transmission:Automatic
fuel:Petrol
Others:power mirror,power...
Imetembea km 246980 , Ina vibali vyote vya taxi cab vinavyoishia Dec 2013, imesajiriwa kituo cha Mabibo Hostel. Kama imeipenda tufanye biashara piga simu zifuatazo:0715 946 905/0755 946...
Hi Wadau wa JF hasa wale wenyeji mjini Mwanza. Inahitajika nyumba ya kupanga ambayo pia itatumika kwa office. Nyumba yenyewe inapaswa iwe na vyumba vinne vya kulala na ofisi kubwa na pia kuwepo na...
Features
3.2 MP camera
web browser
High speed HSDPA network
Wifi 802.11 b/g/n
USB 2.0
G-sensor
Android 2.3
Haya yote kwa laki na harobain (140000).
Contact :+255713968649
Habari zenu wana JF, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, kijitonyama, mwenge na kwingineko kwenye usafiri mzuri. iwe ya vyumba 2-3, iwe ndani ya gate. unaweza nsms 0717 42 11 96...
Wandugu JF ,
Natafuta hiyo antivirus-NOD 32 Antivirus kwa ajili ya windows XP au windows 7 kwa haraka naweza kuipata wapi hapa DSM?
Naomba msaada.
Nawakilisha.
Rakey
Wakuu simu mpya iko kwenye box aina ya huawei asecend y210-0100 inauzwa ikiwa na vifaa vyake vyote
Sifa zake
Android 2.3.6
WCDMA/CAM
1Ghz CPU
1700 mAh battery
3.5 inch display with auto rotating...
Rangi ya dhahabu metallic, 2.4cc 4 cylinder ivtec engine, imetengenezwa 2003, ipo Tanzania kwa miaka 3 sasa, iliingia toka Singapore, imetembea 130,000km, inakaa watu 7 comfortably seated...
Toyota rav 4 L
Import from japan.
Haijatumika kabisa hapa bongo.
Km 136,000
Model 1997
Engine 3S
cc 1998
Bei million 14, ukiwa serious tuwasiliane 0756 600311,0782 335151
Kiwanja kinauzwa kwa bei rahisi, kipo kibaha kwa mathias near open university, kina ukubwa wa ekari 4 na kipo karibu na barabara.. bei 15 million, kwa anayehitaji tuwasiliane 0713 542400
Nyumba imefikia kwenye renter, ina vyumba 5 vya kulala, kimoja ni Master Bedroom. Ipo Chanika Msumbiji, kando ya barabara kuu ya daladala. Kiwanja kina ukumbwa wa 30 kwa 25.
Bei 30,000,000/=...
Wadau,
Shamba linauzwa Eneo la Kigamboni karibu na Dar es salaam Zoo.
Shamba hili lina ukubwa wa Heka 10,
Kigamboni ni eneo ambalo Wawekezaji wananunua mashamba na kuyapima viwanja kisha kuyauza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.