Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Heshima wadau,kwa yeyote mwenye huitaji wa kiwanja kipo Mbezi Msumi km 1 kutoka kituo cha daladala cha Msumi ,Ukubwa ekari 1 hakijapimwa bei ni 24 mil maelewano yapo. 0719 418051
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kiwanja chenye ukubwa wa sq mt 1200 kipo Mbweni kimepimwa kina hati kinauzwa Sh 65m maongezi yapo kwa Mawasiliano No 0758331514
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Naitaka hiyo gari kwa 6m, Mwenye nayo tupia hapa...halafu tuongee.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
iko katika hali nzuri,piga simu 0767767600.bei nafuu sana mil 8.5
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau anaehitaji screen ya laptop Toshiba asisite kunipigia kwenye 0717 77 74 74 bei ni 100,000/- hakuna ubabaishaji wala ulaghai hapa, kama unahitaji nipigie tufanye biashara!!!!
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Pata cheni orijino za silver,gram 1 kwa sh 7500,zipo za gram 10,14,21. wanunuaji tuwasiliane 0714281313..nipo dar.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
location :Wazo _kontena mivumoni Ukubwa wa kiwanja : robo tatu(3/4) heka Faida : kiko ukingoni mwa barabara na miundo mbinu kama umeme upo pia Bei ya kiwanja : tsh.23M +...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza Samsung Omnia wonder(W) inatumia window 7.5 Internal memory 6.67 GB Ina apps nyingii sana Social networks like Facebook,whatsapp,viber na skype Ina package ya Microsoft office so mambo...
0 Reactions
8 Replies
932 Views
HABARI WAKUUU nauza simu aina ya HUAWEI ASCEND Y210-0100 pamoja na laptop mini aina YA SAMSUNG LAPTOP INA SIFA HIZI: Hard disk:320 gb Ram :2 gb Processor: 1.66 Ghz Card reader Web cam...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Balton Tanzania ltd inawakaribisha katika mabanda yao kwenye country zote in Morogoro, Arusha na Dodoma ukajipatie solutions mbalimbali za kilimo. Tendelea www.balton-tanzania.com
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Camera Zingine zinauzwa...Kama Title inavyo Sema Camera Zote Mbili Kwa Lak.Mbili Tuu!! Yani 2 For 2 Camera Used Ya aina Panasonic Lumix Yenye 14.1MP 5X Optical Zoom!! Na...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Kiwanja kinauzwa pugu kwa rais sh mil 11 kwa mawasiliano 0712918110
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Scania bei sawa na bure. Kwa atakayehitaji aniinbox kwa ajili ya details za gari/picha na mawasiliano ya mkononi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FURSA KWA WANAVYUO TO MAKE EXTRA MONEY THIS HOLIDAY!Umeshawahi kujiuliza wewe kama mwanachuo: · Ni namna gani nitafanya business ya kuniingizia kipato cha kutosha pasipokuathiri masomo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bonyeza link hii: https://fb.mcent.com/ref/GK34DV/
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je, unahitaji logo (nembo) kwa ajili ya mradi au biashara yako? Bei ni 90,000/- tu. Ofa ya bure! 1. Letterhead Template 2. Proforma Invoice Template 3. Tax Invoice Template na 4. Biz Card...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
DEAL CLOSED I wanted to delete this thread lakini nimeshindwa nikaishia kui-edit tu. Hivi inaruhusiwa ku-delete thread? if YES how to do it?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Gari iko katika hali nzuri ina Kilomita 68000. bei 11.5M. Kwa mawasiliano 0783449031 au ni PM.
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Salam wakuu, napenda kutambulisha kwenu duka la kwanza na pekee la ASALI halisi na bora toka HONEY SPRING. duka lipo katika ghorofa la LOTTOS mkabala na ofisi za bima. Asali hii inatoka mkoani...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
SAMSUNG GALAXY Y DUOS for sale In a very Good Condition Price Tshs 140,000 Call 0752385949
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom