Wadau mwenzenu nina shida ya fedha ya haraka nimepungukiwa kama Million nne, nipo Dar nimeamua kuuza Plot yangu fasta, Ipo Dodoma ni kiwanja cha mradi kilitolewa na CDA katika mradi wa April 2006...
Nipo DSM,Natafuta used laptop iliyo katika condition nzuri, long battery life na iwe cheap, kwa yeyote anayeuza anipm, usisahau kuweka specifications zake pamoja na bei. Thanks for your time and...
Wakuu naombeni msaada,nna 8milions nataka kuagiza used Carina car direct from japan ya mwaka 2000/2,swali ni kwamba,je hiyo amount inatosha?jinsi ya kuagiza ndo mgeni kabisaaaa,naskia tu sjui...
Lumia 620 ,black OR (any colour), 8GB, <month used,with ALL accessories + BOX.
its WINDOWS 8 and upgraded to any window.
NB: supports Instagram,Skype,viber, whatsapp and many more!
pics...
I would like to sell my house which is located @ Olasiti, so I'm requesting for any agent to give me an advice as in what price should I sell...
Regards,
Jonathan.
Kitambulisho hiki ni hazina kubwa sana
Nimekiokota maeneo ya Tabata-Saibaba Kura moja inaweza kuleta mabadiliko makubwa kwa kuwa ilikuwa barabarani sikweza kukikabidhi mahali popote
Yeyote...
Sumsung mini laptop intel atom 1.66ghz,2gb ram,200gb hdd,wifi,bluetooth,webcam,3.0 usb ports,sd card slot 5HOURS Of CHARGE,ts in a mint condition windows 8 installed!location...
Jipatie huduma zifuatazo kutoka katika kampuni tajwa hapo juu
1.Pata ramani za nyumba katika usanifu wa kisasa
2. kufanyiwa estimate Za ujenz wa building and civil works
3.Survey works I.e...
Wakuu shamba linauzwa lipo kibaha tumbi km 9 kutoka tumbi hospitali, liko eneo linalotwa boko mnemela lina ukubwa wa ekari mbili na ukitaka kupata hekari moja pia unaweza kukatiwa.
Bei kwa heka ni...
specification zake ni hard disk ni 160 gb, ram ni 1 gb na processor ni 1.67
bei yake ni 270,000 pungufu kidogo tunaweza ongea. mawasiliano 0713532322 dar es salaam
wadau kwayule mwenye kuitaji chumba nasebule maeneo yatemeke mwisho mtaa wa njinjoo bei elf 50000 kwamwezi ila mpangaji atatoka tarehee 16 mwezi wa nane kisha unapaswa kulipia miezi iliobaki...
Natafuta kukodi Scaford kwa ajili ya slub.
Tafadhari kama unazo na unakodisha au unamfahamu aliyenazo na anakodisha
tuwasiliane 0754 443 443
Haraka iwezekanavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.