Ndg zangu tangazo linajieleza ninayo white cement kutoka uturuki mwagizaji ni mturuki mimi namuuzia unaweza kupata kiasi chochote unachohitaji, ujazo au uzito ni 40kg.
Mzigo upo Dar es salaam njia...
Wana jf habari nauza subwoofer yangu spika 3 aina tatizo lolote
Inatumia kila kitu bei ni 95,000
Makubaliano yapo
Pia nauza simu yangu infinx hot 11
Gb 128
Ram 4 ina uwezo wa kuongeza...
Hello Mambo vipi, nauza saluni ya kike ina kila kifaa cha kuanzia tena bado vipya kbs pamoja na baadhi ya mafuta na dawa za aina tofauti tofauti.
Drayer, Handdrayer,Steamer, Vioo, Pasi na...
FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU KABISA, USAFI WA:-...
MONEY COUNTER MACHINE
Heavy duty, multicurrency count, One tray
Inatambua noti feki
Ina uwezo wa kuchanganya noti za thamani tofauti inatoa value sahihi
Ina uwezo kutambua noti za mataifa mengi...
Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi.
Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya"
Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri.
Sababu...
FACIAL STEAMER NA PASI KWA PAMOJA⠀
- Hutakiwi kuikosa kwa kukufanya uwe na muonekano mzuri zaidi usoni na pia inatumika kama pasi kwa ajili ya nguo zako.⠀
⠀⠀
Furahia Kuwa na Kifaa Hiki...
Karibu upate huduma ya Automatic gate motor. Hiki ni kifaa maalumu kinachofunga na kufungua geti kwa remote au simu.
Inakua na battery kwaajili ya kuhifadhi umeme endapo ikitokea dharula umeme...
Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini.
Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash...
Habari,
Nauza Mashine mpya kabisa,ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa
Inachuja yenyewe
Inaweza kusaga mpaka miwa 300 kwa saa 1
750W
Inawarranty ya mwaka mzima
Bei: Tsh 1,300,000/...
Uwezo wake ni kukanda kilo 12.5
Ina mikono mitatu
Ni stainless steel
Ina nguvu
1 year warranty
Bei:1,650,000Tsh
Tupo kkoo mtaa wa masasi
Mikoani tunatuma
0788622610
Jipatie mashine za kusaga na kukoboa, zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu kabsa wasiliana nasi, 0754043910,0656873718, tupo mabibo dar es salaam, karibuni nyote.
*** Nina Carpet mbili moja nyeusi na nyingine transparent kila moja ntauza 20000/ badala ya 40
***Kamba ya chuma ya kuvutia gari wa kati wa dharura taiuza kwa 10000 badala ya elfu 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.