Pool table lipo Sinza Madukani njia ya vunja bei ilipo vizuri mipira yote ipo na fimbo mbili karibu sana kwa Tsh milioni 1,000,000 WhatsApp no 0683292291 of call 0716195522 asante sana
Habari Wakuu
Nimekosea kuagiza MAF sensor ya gari, badala ya kuagiza ya BMW E90, nimeagiza ya BMW E46/E81/E87.
Aina ni
Bosch
0280218075
AIR MASS SENSOR-3(E46)1(E81/E87
Bei ni laki 3 ingawa...
Habari zenu wakuu
Hiking NI kifaa kinachorahisisha kazi ya ufungaji wa MADISHI
Nilikinunua Mwanza mwaka HUU mwezi wa 5 kwa TSH 200000
Nimekwama kipesa hivyo nakiuza ili nipate PESA ninayohitaji...
Nauza fridge kubwa ya milango miwili ipo keko dilers,inafanya kazi vizuri.bei yake 260,000.
Pia kuna frizer ndogo iko poa pia inafanya kazi vizuri imezungushiwa copper ndani .rangi yake iko poa...
Habari za wakati huu Wana JF.
Leo nimerudi tena Ndugu Zanguni, Nauza Milango MITANO (5) ya MNINGA.
Ni mipya kabisa, bei ni tsh Laki mbili na elf hamsini (250,000/=) kwa mlango MMOJA. Maongezi...
Habari jF,
Kwa niaba ya mdau wa hizo kontena, naomba kutoa taarifa kuwa kontena za futi 40 na futi 20 sasa zipo na zinapatikana kwa bei rafiki kama ifuatavyo:
40 feet kwa 8M
20 feet kwa 6M
Yard...
PTZ wireless camera - Hii ni camera inayojizungusha mahususi kwa ajili ya ulinzi na usalama wa eneo lako kama biashara au nyumbani.
[emoji654]ina uwezo wa kuzunguka na kuona pande zote kwa picha...
Nauza earpods, wireless headphones, charges, fast chargers, and all others phones accessories karibuni
Sh 30,000/=
Buds pods Elfu 55,000/=
Iphone sh 55,000/=
Sh 55,000/=
iphone 13pro max sh...
Wadau habari za leo !
Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao:
1. Dagaa nyama,
2. Dagaa wakavu/Lukumbu,
3. Lumbunga , na
4. Ng`onda pia wapo.
-Mauzo ni...
Wadau nauza hii server cabinet ikiwa na top mounted cooling system pamoja na Sisco switch and Firewall kwa Bei ya punguzo...Niletee laki tatu na nusu uchukue....
350,000
Location mabibo external...
Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7.
Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 150,000 Tu...
Habari wanajf,Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake vinauzwa kwa tsh laki 4 tu (400,000/=).
Vyote ni vipya kabisa na havijawai kutumia kwani alinunua mdogo wangu na kuviweka kwangu Sasa kuna PESA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.